Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Habar ndugu kuna movie nimeipenda mmno ni ya detective kama ukipata mda naomba uidadavue vizur jiba la movie " THE MURDER OF ORIENT EXPRESS" shukran sana
 
I just watched a very moving Danish movie called "A Fortunate Man".

It is in Danish, with English subtitle.

A story of humble origins, genius, love, society, hubris and downfall.
 
Habar ndugu kuna movie nimeipenda mmno ni ya detective kama ukipata mda naomba uidadavue vizur jiba la movie " THE MURDER OF ORIENT EXPRESS" shukran sana
Movie hiyo ni tamu sana. Yalitokea mauaji yenye utata sana ndani ya treni kiasi kwamba kila mtu akaonekana anahusika nayo. Mpaka mpelelezi anafikia kwenye hitimisho, basi alitumia akili yake vilivyo.

Ni movie nzuri sana ya akili kwani inakufanya na wewe kuwa mpelelezi kwa muda wote unaotazama. Ikikuonyesha ni namna gani ambavyo yeyote yule aweza kuwa mtuhumiwa.

Nikipata wasaa tutasema nayo mkuu.
 
I just watched a very moving Danish movie called "A Fortunate Man".

It is in Danish, with English subtitle.

A story of humble origins, genius, love, society, hubris and downfall.
.... and religious conflicts.
 
Wazo. Unaonaje tukitengeneza subtitle za kiswahili kabisa.
 
Inawezekana mkuu. Vipi tukaingia mzigoni?
Tufanye hivyo uzuri tunatumia zile zile subtitle zake og kuziedit. Kwa kiasi kikubwa kazi haitokuwa ngumu sana. Then kunakuwa na subtitle zaidi ya moja. Muangaliaji ndio anaamua atumie ya kingereza au kiswahili.
 
mkuu mkifanya hivyo itakuwa ni nzuri sana aisee.

Ni wazo zuri sana mkuu.

Wakati mwingine wanaotafsiri movie wanavitu muhimu hawavielezei
 
mkuu mkifanya hivyo itakuwa ni nzuri sana aisee.

Ni wazo zuri sana mkuu.

Wakati mwingine wanaotafsiri movie wanavitu muhimu hawavielezei
Movie zilizotafsiliwa sizipendi zimejaa kelele nyingi halafu quality ya movie inakuwa mbovu maana wanapunguza pixel.
Hii movie inabaki kwenye ubora wake.
 
mkuu naomba udadavue Vizuri nikupate vyemaa
Yani ni hivi kama movie hazichezi kwenye deki inawezekana uwezo wa movie ni mkubwa kuliko deki,cha kufaya weka flash yako irudishe kwenye pc yako kwa mara nyingine tena harafu! Hizo movie ambazo umeshazichukua zirudishe tena kwenye pc au kama zimo basi unachukua moja unaipeleka kwenye file flani hivi limeandikwa convert,

Sasa hapo unachagua kuna aina nyingi za kuweka mfumo gani unaotaka sasa wewe chukua la MPEG4 mara nyingi ndo huwa inacheza kwenye deki harafu convert zote hizo! Baada ya hapo urudishe kwenye deki zitacheza.🙏
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…