Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,747
Wamesema sana hauendi, hauji, hautafika na kadhalika. Lakini mzee kwa vile umesafiri kwa barabara almost kilometa 1,500 huwezi kushindwa mwendo wa SAA moja na kuja Bukoba kula ndizi na senene na kutuona kidogo.
Jana TV zote zimekuonyesha unahani msiba wa mtu mmoja Chato sasa njoo uje uhani misiba ya watu wengi Kagera.
Yale sijui rambirambi sijui michango wala hatuko huko tumesha sahau sie, kwani wangapi walisha shuhudia baba zao wakinywea pombe ada za shule lakini walisoma tuu? Baba ni baba ana mbinu nyingi tuu hivyo hatuna wasiwasi na hilo.
By Mwananchi wa Bukoba.
(Nimeuchukua mwaliko huo kama ulivyo)