SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Anarudi analia eeh...........Mchora katuni wa gazeti la HABARILEO kumbe hata taaluma ya uchoraji hana. Haki ya Mungu muwe mnaleta vitu kama hivi tujionee maana haya magazeti ya UHURU na HABARILEO sijawahi kuyasoma katika maisha yangu...Natamani kumfahamu na mchora katuni wa UHURU..Mimi nawajua Said Michael na Masoud Kipanya
Kuota ndoto za Alinacha mchana kweupe, rukhsa.Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka 2020.
Fuatilia vizuri taarifa mkuu, kwanini kubenea na Komu waitwa wakajieleze kwenye kamati kuu? Unajua sababu? Jaribu kufuatilia mambo ndani ya Chama chako.Umejitahdi. Japo bado hujaijua Chadema, wanachadema. Na bado huwajui wote uliowataja.
Hivi Leo Komu anayemjua vizuri Mbowe...ngoja niweke kituo
Anamtetea kaka wa Hai kana kwamba ni malaika wakati watu wanavijua viza vyake vingi tu vya kisiasa, anapiga kampeni ya nguvu.Ungetuonyesha wapi kakosea sio kuja na hoja dhaifu kama hiyo!
Au Sumaye amekuwa kama wale vibibi wa Shinyanga wanaoambiwa ni wachawi halafu wanamalizwa kisa wana macho mekundu!
Nadhani tangu Lowassa arudi home, Sumaye naye anaonekana mchawi tu na wengi hapo Ufipa.
Mzee atambue kustaafu sio mwisho wa maisha, afanye maamuzi tu.
Hutaweza kupandikiza migogoro kwenye chama cha CHADEMA, mambo hayo huwa mnayafanyaga huko kwenu. Kama huko kwenu CCM mna demokrasia na wewe ni mwanaume kweli chukua fomu ya kogombea Urais uone utakavyotomaswa tomaswa.
CHADEMA hawajui hata maana ya hili neno. Maana unaweza kuwa msaliti mwezi January ukawa Kamanda mwezi February. Kuna jamaa kasema vizuri kwamba Mbowe ni kiumbe pekee aliyejaliwa kumiliki misukule bila kutumia uchawi.Wana Chedema, nielimisheni. Neno MSALITI kwa kugha yenu ya kichama na mtu wa aina gani?
Shukran
Kama alivyotomaswa Lowasa 2015Hutaweza kupandikiza migogoro kwenye chama cha CHADEMA, mambo hayo huwa mnayafanyaga huko kwenu. Kama huko kwenu CCM mna demokrasia na wewe ni mwanaume kweli chukua fomu ya kogombea Urais uone utakavyotomaswa tomaswa.