Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,086
- 15,220
Hii inadhihirisha sio kila siafu anaweza kuwa malkia wa siafu.Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!
Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!
Mchora katuni wa gazeti la HABARILEO kumbe hata taaluma ya uchoraji hana. Haki ya Mungu muwe mnaleta vitu kama hivi tujionee maana haya magazeti ya UHURU na HABARILEO sijawahi kuyasoma katika maisha yangu...Natamani kumfahamu na mchora katuni wa UHURU..Mimi nawajua Said Michael na Masoud Kipanya
Basi nimeelewa.Katuni imechorwa leo ila ina muonekano wa miaka ya 90! Halafu hii fani ya uchoraji kuna muda ukifika waachie watu wa kizazi husika! Likatuni limekaa ki hovyo hovyo!Taalima ya uchoraji inapatikana wapi? Hao uliowataja wana taaluma ya uchoraji toka chuo gani? Kwa sisi wazee wa zamani marco tibasima tunamfaham toka miaka ya 90 akichora na wengine kama akina noah yongolo,ibra radi,john kaduma n.k
....hisia zako tu!,Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!
Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!
Mleta uzi kachambua vyema nimeiona radha ya siasa ambayo imejaa kila aina ya mbinu ili mradi kundi moja lichukue ushindi na siku ccm wakikubali kufanya siasa za namna hii hata zile propaganda zao chafu bila kutegemea dola hakika tutaona radha nzuri ya siasa.Shikamoo, mtoa mada kweli nimeamini CHADEMA inaviongozi wanao jitambua.
Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!
Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!
Hakuna moto wala nini anarudi kwenu pandikizi lenu.Safari Hii ufipa itawaka moto
Ole wao wathubutu kumkata Mwambe
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka 2020.Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!
Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!