Mzee Sitta Kuunguruma Leo Ofisini Kwake

Mzee Sitta Kuunguruma Leo Ofisini Kwake

kutoka mzee wa viwango mpaka kuungurumia ofisini dah. Si aende jangwa kuunguruma km yeye ni mwanaume ? Na bado anatumika kulinda mafisadi bandari
 
Ameitia nchi hasara,kwa kuipatia katiba pendekezwa ambayo haitapitishwa.Kinyume na matarajio ya wengi.HAFAI
 
Waziri wa Uchukuzi, Mzee Samwel Sitta leo saa tano na nusu asubuhi ataongea na waandishi wa habari ofisini kwake kumaliza mzizi wa fitna ndani ya wizara yake, msemaji wake James Rock Mwakibinga amesema. Ujumbe kamili wa msemaji huyo wa Mzee wa Kasi na Viwango unasomeka:
"Ndgu.Mwandishi, kwa nafasi yako wewe ya kipekee unaombwa kufika Wizara ya Uchukuzi leo siku ya Jumapili trh 29/3 kuanzia saa 5 na 30 asbh ,Waziri wa Uchukuzi Mh.Samuel Sitta atazungumza na waandishi wa habari. Ukipata ujumbe huu naomba unijulishe. Ni Mimi James Rock Mwakibinga"
Mnafiki mkubwa hana jipya zaidi ya kuwatukana viongoz wa dini.

Mzee mzima ovyo, eti msemaji huyo std seven na kijidiploma? Kazi kukuza masaburi tu hapa mjini
 
kutoka mzee wa viwango mpaka kuungurumia ofisini dah. Si aende jangwa kuunguruma km yeye ni mwanaume ? Na bado anatumika kulinda mafisadi bandari
Kichwa cha habari kingekuwa "Kubweka ofisini kwake", si kuunguruma.
 
Waziri wa Uchukuzi, Mzee Samwel Sitta leo saa tano na nusu asubuhi ataongea na waandishi wa habari ofisini kwake kumaliza mzizi wa fitna ndani ya wizara yake, msemaji wake James Rock Mwakibinga amesema. Ujumbe kamili wa msemaji huyo wa Mzee wa Kasi na Viwango unasomeka:
"Ndgu.Mwandishi, kwa nafasi yako wewe ya kipekee unaombwa kufika Wizara ya Uchukuzi leo siku ya Jumapili trh 29/3 kuanzia saa 5 na 30 asbh ,Waziri wa Uchukuzi Mh.Samuel Sitta atazungumza na waandishi wa habari. Ukipata ujumbe huu naomba unijulishe. Ni Mimi James Rock Mwakibinga"

Mwambie aangalie vizuri na yeye asijemwaga rap kama gwajima.
 
Vipi ameshaunguruma au yuko Kujaza mafuta kwanza.
 
Yaani kama kuna mtu aliwahi kuingizwa mkenge akaingia mzimamzima ni mzee 6. Yeye alionyeshwa imani na ma ccm na upinzani kwa pamoja lakini kumbe wabaya wake wa ccm wakamrubuni apitishe katiba ili ajisafishe ccm kumbe ndiyo ulikua mtego wake wakujimaliza mwenyewe na hata kwenye siasa anaweza kufutika kabisa siku sio nyingi kama ambavyo hawezi kuota hata urais tena.
 
Back
Top Bottom