Kapela Msonda
Member
- May 29, 2009
- 39
- 11
Waziri wa Uchukuzi, Mzee Samwel Sitta leo saa tano na nusu asubuhi ataongea na waandishi wa habari ofisini kwake kumaliza mzizi wa fitna ndani ya wizara yake, msemaji wake James Rock Mwakibinga amesema. Ujumbe kamili wa msemaji huyo wa Mzee wa Kasi na Viwango unasomeka:
"Ndgu.Mwandishi, kwa nafasi yako wewe ya kipekee unaombwa kufika Wizara ya Uchukuzi leo siku ya Jumapili trh 29/3 kuanzia saa 5 na 30 asbh ,Waziri wa Uchukuzi Mh.Samuel Sitta atazungumza na waandishi wa habari. Ukipata ujumbe huu naomba unijulishe. Ni Mimi James Rock Mwakibinga"