Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
- Thread starter
- #41
Wanapiga Kampeni kuelekea kwenye uchanguzi mkuu Mwakani, Sijaona hapa kwanini alikuwa kimnya kipindi chote hicho
Nazungumzia foundation aliyotuachia; kama Freedom, nk. Hakuna hata sera moja ya Nyerere inaoyofuatwa TZ. Hii system tunaoitumia (free market, democracy) TZ imeanzishwa na Mwinyi aka "Mzee Ruksa". Kwa hiyo, ukiangalia kiundani Mwinyi ndiyo G. Washington hata kama alikuwa rais wa pili.
wasije wakakusikia watz mzee......nyerere aliamoni zaidi katika kuondo kwanza ujinga ili watz wasidanganywe pindi wanaposaini mikataba.......unamshukuru nini mwinyi?kwa kuiuza nchi?maana nae alikuwa na skandali kibao japo tumeamua tum kuzichunia.......