Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,407
- 100,616
Mpwa habari za siku nyingi sana sana, ulichokisema ndicho ninachokisema na mimi, wtu wasisifie ujinga, tuangalie quality ya barabara na bara bara sio kutandika lami na changarawe, it is more than that, Mpwa wangu Tpaul aliwahi kuweka thread hapa iliyokuwa inaonyesha bara babara ya Bagamoyo -Msata ilivyokuwa na creaks kubwa.
Ni aibu kubwa sana sana kusifia ujinga
Ni aibu kubwa sana sana kusifia ujinga
..barabara anazojenga Magufuli ni za enzi za analojia wakati sisi tuko kipindi cha dijital.
..hutu tubarabara ikitokea ajali hakuna mahali pa kujisalimisha, wala kuokoa majeruhi.
..barabara gani hizi head on collisions kila mahali, halafu tunasingizia madereva? ukweli ni kwamba barabara hizi haziendani na idadi ya magari, na mwendo kasi ambao magari hayo yanaendeshwa.
..halafu siyo kwamba barabara hizo ni nyembamba mno, barabara za Magufuli pia haziwezi kuhimili hata mvua ya manyunyu.
..sasa ukichanganya uchakachuaji anaofanya kwenye ujenzi wa barabara, na wizi wa nyumba za serikali nchi nzima, nadhani huyu hatufai.
..Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, hawakuwa na kashfa kubwa-kubwa kama alizonazo Magufuli wakati wanawania uraisi.
cc Columnist, Abunuas, Mwana, Mkandara, Elli, Nguruvi3


