Mzee Mwinyi: Magufuli Simba wa kazi

Mzee Mwinyi: Magufuli Simba wa kazi

Nilishasema..kama CCM wana mpango wa kuendelea kukaa madarakani...basi wamsimamishe Dr Magufuli.
Huyo ndo mwana CCM pekee ambaye hata akisimama kwenye jimbo la CHADEMA, anakubalika sana..
CCM wakitaka kuumiza kichwa upinzani wamsimamishe huyo mkuu, vingunevyo...UKAWA watachukua nchi
 
Naunga mkono 100%
 
Huyu Mzee anaijua nchi kusifia ni roho safi aliyonayo kwa kuwa ni kweli nchi imetandazwa nyavu za barabara za lami kuliko kiipindi kingine !
 
ni kweli kabisa magufuli anafanya kazi lakini naye anaonekana mwizi tu kama wezi wengine.
zile nyumba za umma alizogawa kama njugu chini ya mkapa zitarudi lini?
 
Wanasema Baraza la mawaziri liliidhinisha yeye akasimamia tu
 
jamaa jembe pekee ndan ya ccm kama wangekuw wanajua wamsimamishe uyu jamaa binafs naichukia ccm kama nn cjui ila uyu jamaa yuko vzr mapunguf yake n kama ya binadamu yeyote yule.
 
..barabara anazojenga Magufuli ni za enzi za analojia wakati sisi tuko kipindi cha dijital.

..hutu tubarabara ikitokea ajali hakuna mahali pa kujisalimisha, wala kuokoa majeruhi.

..barabara gani hizi head on collisions kila mahali, halafu tunasingizia madereva? ukweli ni kwamba barabara hizi haziendani na idadi ya magari, na mwendo kasi ambao magari hayo yanaendeshwa.

..halafu siyo kwamba barabara hizo ni nyembamba mno, barabara za Magufuli pia haziwezi kuhimili hata mvua ya manyunyu.

..sasa ukichanganya uchakachuaji anaofanya kwenye ujenzi wa barabara, na wizi wa nyumba za serikali nchi nzima, nadhani huyu hatufai.

..Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, hawakuwa na kashfa kubwa-kubwa kama alizonazo Magufuli wakati wanawania uraisi.

cc Columnist, Abunuas, Mwana, Mkandara, Elli, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Kwa umri wako JF sidhani kama ungeandika simple tense hizi, eti hazihimili mvua mara uchakachuaji, unaendeshwa na hisia tu - poor argument from a very senior member
 
..barabara anazojenga Magufuli ni za enzi za analojia wakati sisi tuko kipindi cha dijital.

..hutu tubarabara ikitokea ajali hakuna mahali pa kujisalimisha, wala kuokoa majeruhi.

..barabara gani hizi head on collisions kila mahali, halafu tunasingizia madereva? ukweli ni kwamba barabara hizi haziendani na idadi ya magari, na mwendo kasi ambao magari hayo yanaendeshwa.

..halafu siyo kwamba barabara hizo ni nyembamba mno, barabara za Magufuli pia haziwezi kuhimili hata mvua ya manyunyu.

..sasa ukichanganya uchakachuaji anaofanya kwenye ujenzi wa barabara, na wizi wa nyumba za serikali nchi nzima, nadhani huyu hatufai.

..Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, hawakuwa na kashfa kubwa-kubwa kama alizonazo Magufuli wakati wanawania uraisi.

cc Columnist, Abunuas, Mwana, Mkandara, Elli, Nguruvi3

Harafu hivi huwa unajua mchakato mpaka barabara inajengwa? Au hujui sema tuanze darasa haraka unatia aibu
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mwinyi aliyetuletea jinamizi la Jakaya si akae kimya tu ale hiyo pension ya walipa kodi.
 
Harafu hivi huwa unajua mchakato mpaka barabara inajengwa? Au hujui sema tuanze darasa haraka unatia aibu

..asante.

..lakini mimi naona kama unataka kuleta visingizio.

..kama tatizo ni "mchakato" basi Magufuli alipaswa kuwashauri/kuwashawishi wenzake serikali ili kufanya maboresho.

..Magufuli ndiye waziri aliyetumikia kwa muda mrefu kuliko wote ktk wizara hiyo. sasa kama "mchakato" wa ujenzi wa bararabara umemshinda unategemea ataweza kushughulikia matatizo lukuki yanayotukabili?

..zaidi, ukumbuke huyu anataka kuingia Ikulu akiwa na kashfa kubwa kuliko watangulizi wake. kama aliweza kuuza nyumba za serikali nchi nzima kwa bei ya kihuni-huni namna ile, what will he do when he has the ultimate authority at the state house?
 
Hapo tu kwa hoja ya kuuza nyumba tena ukimpersonalize wakati ni azimio la serikali napata shida kujua kama umo humu JF tangu 2006 harafu unaandika ulichokiandika. Pia nakupongeza huna jazba, pengine tungeanza rigi, kisha hoja zako huenda nisizijibu ni nyepesi hazinishawishi kuendelea.
 
Hivi huyu Jamaa hana timu Na mm nijiunge, friends of ........
 
Kiukweli magufuli akiteuliwa na ccm tujue hakuna la ukawa wala nani labda 2020
 
Hapo tu kwa hoja ya kuuza nyumba tena ukimpersonalize wakati ni azimio la serikali napata shida kujua kama umo humu JF tangu 2006 harafu unaandika ulichokiandika. Pia nakupongeza huna jazba, pengine tungeanza rigi, kisha hoja zako huenda nisizijibu ni nyepesi hazinishawishi kuendelea.

..asante.

..naomba basi tuagane hivi.

..hivi unategemea kwa uchafu na uhuni ule uliofanyika ktk uuzwaji wa nyumba za serikali, Mauufuli anaweza kusafishwa na chombo chochote huru?

..YES, uamuzi ule ulikuwa wa baraza la mawaziri. Lakini uamuzi ule umeitia hasara nchi kwani tunajua nyumba zile ziliuzwa kwa bei ya chini ya soko. Leo hii hata ukiwa na kibanda cha makuti ktk maeneo zilipokuwa nyumba za serikali huwezi kuuza kwa bei ya hasara kama alivyofanya Magufuli.

..Magufuli kama waziri mwenye dhamana na nyumba zile alipaswa kuishauri vizuri serikali. Kama serikali na mawaziri wenzake wangekataa ushauri huo, alipaswa kujiuzulu ili asishiriki hujuma na jinai ile.
 
Wavu wa Barabara = Road Network

by Retired President Ali Hassan Mwinyi
 
Back
Top Bottom