Mzee Mwinyi asingekuwa Mcha Mungu hali ya Uchumi aliyoikuta 1985 angeweza kuuza kila kitu, ashukuliwe Prof. Malima na Prof. Lipumba!

Mkuranga Ndio kwao Malima achilia mbali jimbo Kabla halijagawanywa

Mwanga ilipaishwa kwa ufisadi wa huyo mtanzania wa mwanzo mwanzo kuhitimu Makerere!

Niishie hapo

..umesahau Mwalimu alilaumiwa kwamba alipong'atuka hazina ilikuwa "imekauka."?

..taarifa za kuaminika zinasema Prof.Malima ndio alikuwa waziri wa fedha wakati Mwalimu anang'atuka.
 
Waliokuwepo zama hizo na wasio Wanafiki watanielewa, mzee Mwinyi aliikuta nchi katika halo Ngumu ya kiuchumi kuliko Rais mwingine yoyote

Kipekee niwashukuru Prof Kighoma Malima aliyekuwa Waziri wa Fedha, Prof Lipumba aliyekuwa Mshauri wa Uchumi Ikulu, Hassan Diria Waziri Mambo ya Nje, Lyatonga Mrema Waziri wa Mambo ya Ndani na Mzee Kitwana Kondo KK Meta wa Jiji la DSM kwa kumshauri ipasavyo Mzee Mwinyi hadi tukatoboa

Mungu wa mbinguni mbariki mzee Mwinyi!
Rais Mwinyi, baada ya kuona hali ya uchumi ni mbaya kupitiliza, alishauriwa kwenda kukopa fedha Zimbabwe. Rais Mugabe akasema siwezi kuikopesha fedha serikali ya Tanzania, badala yake nitawasaidia bure kabisa bila masharti yeyote .

Serikali yetu ikapewa dollar za Kimarekani million 500.

Rais akashauriwa kuwa fedha hizi zipelekwe Bank kuu ili wafanya biashara wenye uwezo wa kuagiza bidhaa mbali mbali nje ya Nchi wafanye hivyo kwasababu hiyo itasaidia kuzalisha walipa kodi. Serikali ikakubali. Biashara zikaanza kufufuka na kushamiri.

Sambamba na hilo kukapitishwa azimio la Zanzibar, ambalo msingi wake mkubwa ilikuwa ni kuvutia watu kutoka Nchi za nje kuleta mitaji yao Tanzania kwasababu Azimio la Zanzibar lililegeza masharti mengi ya Azimio la Arusha.

Kwahiyo, mpaka tunafika mwaka 1994 hali kidogo ikaanza kutengamaa..
Mwinyi hauwaza kuuza Bandari wala Bank, ila tulikuwa na bahati Mugabe alitupiga jeki kubwa.
 
Wewe una spin nini? Mwaka 1992 nchi ilifirisika. It is documented
 
Mkuranga Ndio kwao Malima achilia mbali jimbo Kabla halijagawanywa

Mwanga ilipaishwa kwa ufisadi wa huyo mtanzania wa mwanzo mwanzo kuhitimu Makerere!

Niishie hapo
Malima kwao ni kisarawe kijiji chao cha asili ni maluwi ambako amezaliwa na kukulia huko na kusoma huko. Mkuranga alihamishia makazi ya wazazi wake maeneo ya Mkamba baadaye sana akiwa tayari keshakuwa mtu mzima.
Nalijua hili vizuri.
 
Waliokuwepo zama hizo na wasio Wanafiki watanielewa, mzee Mwinyi aliikuta nchi katika halo Ngumu ya kiuchumi kuliko Rais mwingine yoyote

Kipekee niwashukuru Prof Kighoma Malima aliyekuwa Waziri wa Fedha, Prof Lipumba aliyekuwa Mshauri wa Uchumi Ikulu, Hassan Diria Waziri Mambo ya Nje, Lyatonga Mrema Waziri wa Mambo ya Ndani na Mzee Kitwana Kondo KK Meta wa Jiji la DSM kwa kumshauri ipasavyo Mzee Mwinyi hadi tukatoboa

Mungu wa mbinguni mbariki mzee Mwinyi!
Inamaana baada ya Mzee Mwinyi kizungumkuti kikaanza mpaka leo 🤣🤣🤣🤣!!!
 
..umesahau Mwalimu alilaumiwa kwamba alipong'atuka hazina ilikuwa "imekauka."?

..taarifa za kuaminika zinasema Prof.Malima ndio alikuwa waziri wa fedha wakati Mwalimu anang'atuka.
Mtei aliiacha nafasi ya ugavana BoT kipindi Cha Nyerere,huwezi kumlaumu malima mwenye PhD ya uchumi kwa uchumi mbovu wa Nyerere,wazee walimuita haambiliki,Kuna sababu
 
Kuna shida ya msingi na ya kale kwenye jamii kama za Mkuranga, ELIMU DUNI YA KISEKYULA. Hili ndio chanzo cha yote, na yanaendelea hadi leo. Hata Msuya angekuwa mbunge wa Mkuranga, na kuiba na kuwekeza huko mkuranga, na Malima angetoka Mwanga, bado mkuranga ingekuwa duni na mwanga ingepiga hatua.
Seriously? Unafananisha maendeleo ya Mkuranga na Mwanga?
Yaani huko vijijini mnapokimbia maisha......

kisa? Kuna kaeneo Msuya alikaibia na kupekekwa umeme miaka ya tisini!
Mwanga Ina safari ndeFu sana ya kufikia maendeleo ya Mkuranga. Hususani Kwa miongo hii ya karibuni.
 
Back
Top Bottom