Jamani kuna ushahidi upi kuwa Dr Slaa hajasikilizwa?
Ninavyojua mimi CHADEMA ni Dr slaa na Mbowe.....hakifanyiki kitu bila hao ku approve
Inaonekana huelewi politics. CHADEMA wana watu makini sana, na usijidanganye kwamba wamekurupuka. Mahesabu yamepigwa tayari na maibu yanaonyesha ushindi. Wewe baki na magufuli msafi bila kutuambia ni kwa vipi taarifa ya CAG imeonyesha alidanganya Bunge kuhusu 250 TZS Billions. Lakini kuna kitu usichokijua hapa ni kwamba, kwa CCM hata awe malaika ukishaingia kwenye uongozi basi hakuna usafi tena. Ukitaka majibu haya basi muulize Mkapa atakuambia wakati anaingia alikuwa anajulikana kama nani na wakati anatoka alikuwa nani???
Halafu hizi hadithi za Mbowe kupokea pesa za Lowasa ni bora uzipeleke Facebook au JF kwenye Jokes, kwani ni upuuzi kutuletea propaganda za kipuuzi kwenye hoja yakinifu kama hii. Lakini pia ujaribu kuangalia kama hauna uelewa kwa kile kilichoelezwa hapa, unaweza ukapita bila kuleta habari za kwenye mgahawa kwamba Mbowe kapokea 10 Billions. Kama mna data, ni kwanini msipereke taarifa kwenye vyombo husika. Hivi unajua transaction ya 10 TZS Billions inavyofanyika Bank??? Je BOT ambayo iko chini ya CCM iliidhinisha hizo pesa zinaenda kufanya nini?? Au hizo pesa Lowasa anazitunza kwake?? Hebu kuweni na fikra sahihi na muachane na hizo hadithi za kwenye gahawa za akina Lizaboni. Sisi sio watoto na wapumbavu kama mnavyofikiria.
That was then
sasa Slaa sio lazima asikilizwe
CHADEMA ni Mbowe na Mtei...ndio hasa waliofanikisha kumleta Lowassa
Nafikiri bado hujanisoma vizuri. Ngoja basi nikufafanulie kidogo.Usikubali kuendesha maisha yako kwa hisia za hofu. ziko tofauti kubwa na za msingi kati ya movement tunayo endesha hapa kwetu na ile iliyoendeshwa Libya dhidi ya utawala wa gadafi. tunaendesha a democratic movement hapa nyumbani, hakuna matumizi ya silaha wala chuki ya kidini wala kikabila (ashukuriwe Mungu).
Usikubali kuwa msomi wa madarasa lakini ukashikilia hisia za hofu na kutokujiamini katika kuwaza na kuishi kwako. hakuna aliye na exclusive property right ya kuongoza Tanzania. Nimesema mara nyingi, tanzania ni ya wa Tanzania na si ya familia flani. kuamini kuwa CCM kuondoka madarakani ni kuleta vita kama libya halafu ukadhani kuwa kuwa na aina hiyo ya mtazamo ndiyo kuwa na full knowledge nadhani nikukosea katika misingi yenyewe ya kufikiri. nakupa changamoto kukubali kuwa a little more open minded.
Comrade,
That was then
sasa Slaa sio lazima asikilizwe
CHADEMA ni Mbowe na Mtei...ndio hasa waliofanikisha kumleta Lowassa
MMM hajatazama a big pic kama muandishi alivyoainisha??
Kinachonishangaza ni nyie watu wa CCM, leo kutuona kwamba sisi tumekosea?? Mi nahisi, kama mgeona sisi tumekosea, ilikuwa ni nafasi bora kukaa kimya, ili 25-10, muthibitishe makosa yetu!!!
Cha, kushangaza leo, CCM anatueleza njia bora ya kuweka upinzani imara!! Upuuzi gani huu???
Nani aliewahi kufungua mdomo wake wakati EL akiwa ndani ya chama chenu kumuita fisadi?? Eti leo ndio mnafata nafasi ya kusema hivyo?? Nendeni kwenye majukwaa mumuite hivyo!! Nadhani majibu atakayowarudishia hamtakaa kusahau kwa kile ninachomfahamu huyu bwana.
EL ni fisadi...sawa, ila Meremeta, EPA, Escrow, deep gereen , kiwila yooote haya ni EL aliingia au alishuudia mikataba?? Rada, ndege ya Rais?? Mbona mnataka kutuona wapumbavu?? Wapumbavu nyie wenyewe!!!
Kwa taarifa yako, subiri uone hiyo 25/10, ndio utajua
Hakuna kitu kama hicho Dunia hii eti Mwananchi ndiyo anaamua nani awe raisi ni nani alikudanganya?
Hakuna nchi Dunia hii ambayo Mwananchi anaamua nani awe raisi wa nchi bali Raisi wa nchi huamuliwa na Mfumo wa nchi (System) halafu ninyi mnaoitwa wananchi mnaambiwa kupiga kura kama kutimiza wajibu tu lkn Raisi anakuwa ameshateuliwa, na mfumo ndiyo unaweka Raisi na kumtoa na hii ni Dunia nzima tofauti iko tu kwenye aina ya usanii kuna wengine ni wasanii zaidi ya wengine kwenye hili swala, hivyo hapa TanZania mfumo umeshaamua Raisi ajaye awe Pombe Magufuli na Itakuwa hivyo labda afariki kabla! Hakuna raisi atakayetoka nje ya CCM mwaka huu labda yaje mapinduzi ya Kivita sasa sijui kama Lowasa kajiandaa kwa hilo... hapo siwezi kujua lkn kwa KURA, HAITOTOKEA KAMWE!
That was then
sasa Slaa sio lazima asikilizwe
CHADEMA ni Mbowe na Mtei...ndio hasa waliofanikisha kumleta Lowassa
Tafakari kwanza what is behind Lowassa kuingia Chadema ndo uje kumshauri Mzee Mwanakijiji.
Sasa ndo naelewa kwa nini wanasema half knowledge is dangerous than total ignorance? Yani kama hii ndo thinking yenu sishangai wale walioaminishwa Gaddafi ndo mbaya na atoke na leo wanashangaa Gaddafi katoka ila yaliyowakuta ni zaidi ya hata yale waliyokuwa wanayawaza.
I feel sorry for you.
Let me start with that which is something am sure you believe in (Principle), expanding on it gives;The moment you begin thinking of ways to make "easy money" is the moment you become a thief!.,
Unajidanganya sana dada
Rais Obama asingekanyaga White Hse kama sio Wananchi tena wa hali ya chini waliompigia kura kwa wingi. Hoja kwamba ni syst inateua Rais then formality zinafuata ni story za vijiweni.
Suala kwamba mbinu za wizi wa kura kumpitisha mtu fulan zinafanyika ni kweli, na hilo limeshapatiwa dawa ktk uchaguz huu. Wezi wa kura na wote watakaojaribu kuhujumu uchaguz huu watajuta maisha yao yote
Mbinu zao zinajulikana waliokuwa champion wamesha okoka na wanataka mabadiliko maana wameonja uchungu wa watawala wabinafsi. Hivyo goli la mkono haliwezekani au litaelekezwa upande wa pili.
Tusidanganyane, mwaka huu ni mwaka tofauti sana, mikakati imepangwa ikapangika, tusubiri 25/10 sio mbali
Let me start with that which is something am sure you believe in (Principle), expanding on it gives;
The moment you begin thinking of ways to get "easy wins" is the moment you become corrupt!
Now that is a fact and that is exactly what is happening with CDM and this Lowasa thing. Look for an easier way to win whatever the cost. That guy on your profile picture, do you know who was his opposite during his time? Malcom X. They all wanted the same thing but they had fundamental differences in the principals on how they are going to get there. Malcom X believed on the whatever it takes approach while that guy on the picture believed on taking the morally correct path to victory however hard that path.
In these few days, CDM has successful managed to transform their mission from delivery of a better, democratic and fair Tanzania to take CCM out whatever the cost and worry about tomorrow when tomorrow gets there. While that may turn good (and MM finished his post saying, "i remain a skeptic"), but with invitation of Lowasa you are guaranteed for a CCM like tomorrow or most likely worst.
What makes Lowasa powerfull is what comes with Lowasa. And that is TeamLowasa and every other shady character that CDM has ever pointed finger at. You don't just get Lowasa, you get all of that. That becomes part and parcel of a democratic CDM. A new CDM member and an old CMD member all have the same rights. And these people are not your regular CMD members, these are guys that can exert a significant influence and they are coming in CMD in a position of power. They are not being helped by CDM, they are helping CDM take on CCM.
Once Lowasa is president, he is president. Do you even know the kind of power a president of this country has? To think that CDM will be able to control him through party meetings is simply being naive! There is a right and wrong way of doing things, that is a fact. Getting bad people to fight other bad people for you is a good strategy except that keeping the bad people as your leader as they defeated the other bad people is simply suicidal.
I have read some other arguments that, this is just to change the political dynamics and prove that a ruling party can be replaced in TZ. But that is simply explaining hard issues with simple whatever fits answers (the ones that CCM ministers always gives in the parliament). You cant just turn the future of the entire nation into a big SOCIAL EXPERIMENT and see how it goes!!! And to expand on that, this kind of experiment has been done before in many countries in Africa with complete total failure. And it is a scientific fact that, an experiment which takes same inputs under the same conditions will ALL THE TIME GIVES THE SAME RESULTS.
What is wrong with People!!!