thanks kwa mwandiko wa kikeKama ingekuwa ni Magufuli Scandal na hasa kama ingekuwa yeye ndiye aliyefisadi, angeshafukuzwa kazi kama FISADI LOWASSA au kuwajibishwa na bunge kama wale washikaji zake LOWASSA.
Kwa kifupi ni kuwa hakuna Magufuli Scandal, je unaweza sema hivyo hivyo kwa FISADI LOWASSA?
Tunaongelea suala la ufisadi na athari zake kwa nchi wala si madhambi ya watu. Therefore hatufanyi comparison kufikia uamuzi wa kumchagua Rais. so much noise on ufisadi na Lowasa hajawa proven guilty kwa ufisadi Ila muda wote wa utawala wa CCM issue ni rushwa ambalo hatuna hata Rais wa awamu ya pili mpaka wa Sasa ameshachukua chukua hatua za dhati kupiga vita rushwa! Hata enzi za Mkapa rushwa kubwa iliotokea na hatukumsikia akiizungumzia kama Mkuu wa nchi. Lowasa ana uchungu wa kupigiwa kelele za ufisadi, atatumia uchungu aliopitia kubeba mzigo wa kashfa kwa niaba ya serikali kuhakikisha ana prove yeye hapendi ufisadi once ukipata kura za kutosha.
kwani sumaye ni Mungu??
SI walewale tu
Mimi mtazamo wangu ni hiviiiiii potelea mbali rais awe Magufuli au Lowassa muhimu ni Bunge. Kukiwa na wabunge wengi wa upinzani wenye nia njema na nchi yetu basi tutakuwa tumeanza kuuvuka mto. Tuache kulaumiana kwa sasa tupo safarini tuzidi kupeana moyo sote ni ndugu. Muhimu upinzani uweze kukosoa au kuondosha mabovu ya ccm na tuijenge Tanzania ya wote sio chama fulani. Kila mwanadamu ana mtazamo tofauti hizi tofauti zetu tuziache kwa sasa it's too late kugeuza lililopo mbele yetu tusivunjane moyo tuendelee na safari tutafika. Isipo upinzani punguzeni kuchukua makapi mnajidanganya chui habadiliki rangi ni yule yule awe Africa Asia ni chui tu. ANGALIZO
thanks kwa mwandiko wa kike
Wote mafisadi tu
Edward, Jakaya, Chenge, Mwakyembe, Karamagi, rostam.... Hao nimafisadi papa
- Asiyekubali kushindwa si mshindani.
- Kubali tu kuwa tuna mgombea mmoja tu wa uraisi ambaye ni FISADI Papa = EDWARD LOWASSA,
- Then tukitumia akili badala ya munkari, hata kauli zetu zitakuwa za busara na sio za matusi.
Edward, Jakaya, Chenge, Mwakyembe, Karamagi, rostam.... Hao nimafisadi papa
Hilo halina ubishi
MWakyembe ni fisadi mnoooUkiondoa Mwakyembe, waliobaki ni Mafisadi.
Kwa Hiyo Tusikubali Edward (LOWASSA) Kuurudisha Ufisadi Madarakani
Kwani LOWASSA ni mfalme, Si walewale tu.
Mwanakijiji ndo Dr Slaa
Nataka kutumia mantiki mpaka mwisho wa hoja kabisa. Kwa hivyo nitatumia muktadha ambao si halisi au wa kufikirika ili kufika hoja mujarabu. Lengo letu ni kuing'oa sisiemu. Je, endapo watu wote walio sisiemu wakisema leo hii sisi si sisiemu bali ni sisiemu, itakuwaje? tutawakubalia? I admit this is an extreme scenario. Kilichotokea ni wachache wa wale tunaojua kwamba wameharibu nchi ndiyo wamekwenda ukawa au CDM. Hapo ndipo ninapoiona hoja ya Mzee Mwanakijiji.
Ngoja nirejee tena kwa masisiemu yanafanyaje mambo yao. Yanatumia nafasi zao, yanatumia pesa, yanatumia dola kujinufaisha yenyewe bila kujali hali ya nchi. Hapo basi EL amefanyaje kuingia CDM? Ametumia nafasi yake katika CCM, ametumai pesa zake alizojipatika katika CCM kuingina ukawa. Hapo ndipo ninapokosa imani na EL na wimbi zima la nyinyiemu kuingia ukawa. Itakuwaje tuwape dhamana watu walewale waliotuleta hapa? I'm sorry, this makes absolutely no sense to me. Kwa kweli, kwa sasa sitapiga kura. Majambazi yamegombana nasi tunagombana kuyapigia kura?????
MWakyembe ni fisadi mnooo
Ile issue ya Richmond, ilimuuma tu, because he had a power negeration company huko singida; Mabehewa na vichwa vya treni vibovu vilivyotucost 400M USD yupo, TPA malpractice yumo,
Ni fisadi, na mbaya zaidi yeye ni mfitini, unakumbuka alipodai anataka kuuwawa?? akadai atasema yote... Ameshasema chochote??