Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...


Sidhani kama umenielewa.

Mbowe ndiye aliyechemsha na sio Dr. Slaa, kwani kama Mbowe angekuwa ni kiongozi mzuri, basi angeweza kuwaunganisha wanachama wake wenye milongo tofauti ile awe na CHADEMA inayoingia kwenye uchaguzi ikiwa na wakali wake wote, yaani Lowassa aliyetubu, Dr. Slaa na hata Zitto.

Lakini tatizo la Mbowe ni kuwa anadhani anamiliki CHADEMA na hivyo maamuzi yake ni ya mwisho. Ndio maana, kwa kuwa upevu wake ni mdogo, kwani huona umbali mfupi, bila kuangalia madhara ya baadaye, amemkubalia Lowassa kuingia akiwa na matope yake.

Lowassa hakuwa na pa kwenda zaidi ya CHADEMA, kwa hiyo kama wangemlazimisha aombe msamaha kwa kulisababishia hasara taifa kwenye Richmond scandal badala ya kujidai kuwa hahusiki, sio ajabu Lowassa angeomba msamaha na kuonekana muungwana. Baada ya hapo CHADEMA wangeweza kupigania mageuzi wakiweza pia kutumia kauli mbiu ya kuondoa ufisadi.

Lakini Mbowe aliamua kumkumbatia Lowassa pamoja na mabaya yake na hivyo kukifanya CHADEMA kiwe = Chama Dili na Mafisadi.
 

Umemaliza mkuu nmeipenda hoja yako
 

Salute kwako mkuu ubarikiwe
 
apart from Richmond scandal, how many scandals tumeshakua kuwa nazo between 2005 na leo?? and what is the dollar value ya kila scandal??

Do we have selective blindness au sisi ni dumbasses tunaochagua ni kichomi kipi kisemwe kwa dokta??

Negro please
 

Ubaya wa ccm baada ya lowasa kutoka serikalini hakumpi usafi hata kidogo
 
Yaani maelezo yote haya hutaki mawazo tofauti na ya wahafidhina kwa amri yako ungependa wote wadumishe fikra za mwenyekiti. Fungua nafsi yako na kutokubaliana ndio demokrasia. Maendeleo ya watanzania yatapatikana kwa watu kufikiri tofauti na kutenda tofauti si kwa kuitoa CCM tu.

 
Ubaya wa ccm baada ya lowasa kutoka serikalini hakumpi usafi hata kidogo

then hakuna haja ya kuzungumzia ufisadi wa lowassa na kuacha wengine

In short, agenda ya ufisadi ya lowassa is dead
 

Hiyo utajaza wewe Mwenyewe. Hatuwezi kumsinyanga MAGUFULI kwa Dhambi aliyofanya Lowassa, Bilali n.k
 

Compare Madhambi ya Lowassa vs Magufuli na sio ya watu wengine.
 
Compare Madhambi ya Lowassa vs Magufuli na sio ya watu wengine.

Tunaongelea suala la ufisadi na athari zake kwa nchi wala si madhambi ya watu. Therefore hatufanyi comparison kufikia uamuzi wa kumchagua Rais. so much noise on ufisadi na Lowasa hajawa proven guilty kwa ufisadi Ila muda wote wa utawala wa CCM issue ni rushwa ambalo hatuna hata Rais wa awamu ya pili mpaka wa Sasa ameshachukua chukua hatua za dhati kupiga vita rushwa! Hata enzi za Mkapa rushwa kubwa iliotokea na hatukumsikia akiizungumzia kama Mkuu wa nchi. Lowasa ana uchungu wa kupigiwa kelele za ufisadi, atatumia uchungu aliopitia kubeba mzigo wa kashfa kwa niaba ya serikali kuhakikisha ana prove yeye hapendi ufisadi once ukipata kura za kutosha.
 
LIle la nyumba 8,000 ni mega scandal, only second to ESCROW

Kama ingekuwa ni Magufuli Scandal na hasa kama ingekuwa yeye ndiye aliyefisadi, angeshafukuzwa kazi kama FISADI LOWASSA au kuwajibishwa na bunge kama wale washikaji zake LOWASSA.

Kwa kifupi ni kuwa hakuna Magufuli Scandal, je unaweza sema hivyo hivyo kwa FISADI LOWASSA?
 
then hakuna haja ya kuzungumzia ufisadi wa lowassa na kuacha wengine

In short, agenda ya ufisadi ya lowassa is dead

Kama wanagombea Uraisi, yes, lazima tuwaongelee ufisadi wao, lakini kama-hawamo kwenye hiki kinyang'anyiro cha uraisi, basi hawahusiki.

Kwenye wagombea uraisi wote, ni mmoja tu ndiye aliyehukumiwa kuwa ni FISADI Papa, hapa tunamuongelea EDWARD LOWASSA = HATUFAI.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…