Hofu yangu Saida anafukuzia kuvunja mkataba ili apate hela za diamond na Salome wake au nini....?? Coz zile nyimbo tyri zmebaki makapi zishanyonywa vyakutosha na huyu mzee Mutta. Namkumbka huyu mama nlivokuwa nachungulia drshan kwa jirani baada ya sauti yake iliyonipa kila nlichohitaji, nlkuwa mdogo lakini nlimjua na nlipenda Sauti yake, housgal watu akitafsiri wimbo baada wa mwingine. Alipenda kumshukuru aliemuita "ta muttha" bwana mutta.Hilo la Watanzania ni sahihi kwa 100%... sisi ni wataalamu wa kukosoa; tena sio kukosoa ni kuponda lakini hatutoi way forward! Na tatizo kubwa kabisa hapa ni kwamba watu huwa tunataka kukosoa hata kwa mambo tusiyoyajua... tunatawaliwa zaidi na ushabiki kuliko weledi!!
Tukirudi kwa Saida na matanuzi... usimkatalie moja kwa moja huyo meneja wake hasa tukizungumzia suala la kufulia mapema kiuchumi! Hicho ndicho nilichokisema kwenye post yangu ya kwanza... kwamba, ukiwa signed kwenye music label unatakiwa kuwa akili kunkichwa!! Aliyekusaini ukimtaka akuweke hotelini na akijua thamani yako inalipa; atakuweka tu hotelini ili uendelee kuwa tegemezi! Ukipata dharura ya kwenda Dodoma ukamwambia umechoka huwezi kupanda gari kwahiyo akukodie helicopter... trust me; atakukodia! Na hata usipomtaka afanye hivyo, si ajabu yeye ndo akakushauri ufanye hivyo! At the end of the day, umeuza album au show ya ile nyingi, anaanza kutungua gharama zake moja baada ya nyingine... hadi ile ambayo alikununulia mishikaki ya kuku! Anajua asipofanya hivyo, anaweza kujikuta katika mkupuo mmoja tu wa malipo anatakiwa kukulipa mamilioni ya pesa kwa sababu hukuchukua chochote in advance... sasa bora akumegee kidogo kidogo! Sasa msanii mwenyewe ukiwa f'ara ukadhani maisha si ndo haya; hesabu umeumia!!!!
Kuhusu mkataba wenyewe, Saida simlaumu kabisa hasa nikizingatia background yake lakini meneja wake anastahili lawama labda kama na yeye aliirukia kazi asiyo na ufahamu nayo!
Binafsi nishawahi kuiona mikataba miwili mitatu ya wasanii... ndo vile tu watoa mikataba na wapewa mikataba wote sawa tu! Mikataba karibu yote niliyopata kuiona ni ya kishenzi dhidi ya wasanii hususani kama msanii mwenyewe ndo anatafuta kutoka! Na mingi huwa haisemi faida mbalimbali zinazotokana na kazi za kisanii... wanaishia tu kutaja shows, mkito, mapato ya airtime!! Wala hawajui kwamba mtu anaweza kutumia track kutengeneza filamu... and if that happens, nani atapata nini... huwezi kukuta mambo kama hayo!
Mkuu, inawezekana na mimi ni mnyonyaji ninaetetea wanyonyaji lakini tatizo langu huwa napenda kuongelea mambo kutokana na uhalisia wake... how they happen in a real world rather than pretending I am living in a fantasy world!!Hofu yangu Saida anafukuzia kuvunja mkataba ili apate hela za diamond na Salome wake au nini....?? Coz zile nyimbo tyri zmebaki makapi zishanyonywa vyakutosha na huyu mzee Mutta. Namkumbka huyu mama nlivokuwa nachungulia drshan kwa jirani baada ya sauti yake iliyonipa kila nlichohitaji, nlkuwa mdogo lakini nlimjua na nlipenda Sauti yake, housgal watu akitafsiri wimbo baada wa mwingine. Alipenda kumshukuru aliemuita "ta muttha" bwana mutta.
Huyu mzee mungu anamuona nlimshangaa sana siku ile ameonekana kwenye media akiwa na meneja wa Diamond baada ya Salome kutoka nilitamani kusikia akisema chochote kuhusu "ma saida"
Bnafsi nlikuwa naskia mengi kuhusu dada yangu huyu kuwa jiji lilimzuzua kupelekea kumuacha mmewe aliyeanza nae maisha kisa sio level zake ambae alishirik kutunga na kuimba viitikio vya nyimbo za kazaa za huyu dada yangu.
Matumiz familia kubwa ya waliokuja kumuona na mambo mengine yalikuwa ni mambo ya kawaida kwa uyu dada aliotoka "obhighem" na kutua jiji la makamba enzi izo....hatua kubwa
Yote kwa Yote mzee muta ni mnyonyoji sana alimtumia na bila ukakasi hawa wanyonyaji wako tele na wanajuana na kuteteana. nilishangaa siku namsikia Ruge akimtetea mzee muta kuwa alimsaidia Saida kwa kumtoa ila watu wanamsakama muta.. (Kuweka kumbukumbu sawa hii ilikuwa siku ameitwa kwenye PB kuonglea ishu yake na Jide) maajab yaliyoje unaendesha hammer mwenzio hta baiskel hana...afu useme umemsaidia...km aliona matumizi mabovu kwnn haku opt ata kumnunulia nyumba kumuanzshia chchte au kumpa haki ya albam moja....
Mutta aache unafiki yule ni "nshomire" mwenzie vijiji jiran amlegezee hata kwa hiki kidogo cha diamond...awe muungwana amwachie hata ivyo vijisent vya Salome mpya wa Diamond.....
......................Am out.................
Afu majamaa fulani wakamrusha kwenye kipindi cha kuchekesha kipengele cha 'Umefulia'... Kisa wao maisha yalikuwa mazuri kwa Mehboob.Wengi mtamlaumu Saida lakini ukweli ni kuwa "Saida karoli hakuwa na elimu wala hakupata mchangamano na watu ambao wangembadilisha kifikra "...
Huyu mama alitolewa kwenye upigaji wa ngoma vilabuni huko bukoba na tuzo yake pekee ilikuwa ni pombe... Hadi anakuja kuchukuliwa na hao walaghai na kuanza kumfanyisha matamasha ya kiasili , sidhani kama hata malipo kiduchu aliyolipwa yalimtoa ushamba kutokana na kuwa hakuizoea pesa "....
Hadi anakuja kuwa msanii mkubwa , yeye hakuijua thamani yake kabisa na alipokuja kushtushwa ndipo ukawa mwisho wake maana alitelekezwa mjini hadi akaanza kuuza chips.....
Mutta sidhani kama ana utu maana kwa pesa za kuujaza uwanja wa taifa ilipaswa amnufaishe japo kidogo...
Yote kwa yote... Tayari Saida amekwishajua wapi alipokosea hivyo, hapaswi kudai hadhi na haki yake kwa mdomo Bali kwa vitendo