Na kweli ulimwengu kuna malimwengu.Mzee mmoja kutoka Mwembetayari aliwaacha wengi kwa kicheko,yesemakana babu huyu alioga na acid kichwani usiku wa kuamkia leo.La kushangaza ni kuwa baada ya kuoga na ile acid kichwani, alijikuta bila unywele huku akim'pigia mkewe kelele.'Mbona waniendea kwa wachawi?' babu akanena.