Mzee Mkapa yuko wapi?

huyu mzee si ndie aligawa viwanda vyetu...


na huyu huyu mzee si ndie aliileta iptl na acacia????
Mkuu unatakiwa kuwa na kumbukumbu kidogo sio kurukia kila kitu bila kuwa na kautafiti kidogo. Iptl ilianza enzi za mzee ruksa mwaka 1994.Acacia,imekuja enzi za jk baada ya kuinunua kampuni ya.....
 
Tumuombe Mzee Mwinyi aje hadharani aseme alimaanisha nini, maana watu wamekuja na tafsiri kibao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…