Mzee Mkapa yuko wapi?

huyu mzee si ndie aligawa viwanda vyetu...


na huyu huyu mzee si ndie aliileta iptl na acacia????
 
Kawaletea watanzania taflani halafu kimya.
 
kavulata wala,huyo kiranja wenu wa sasa,hana cha kunimalizia pumzi,kwanza mi ndiye Godfather na kingmaker wake!
 


Atakuwa anajinyea tu huko Tanga pamoja na kufanya makafara ya hajabu ili asijekamatwa na watanzania wenye hasira na kumfanyizia kutokana na ufujaji alioufanya akiwa madarakani. Watanzania bado tunamuwinda sana, ajifiche tu huko huko au ajiue tu.
 
huyu mzee si ndie aligawa viwanda vyetu...


na huyu huyu mzee si ndie aliileta iptl na acacia????
Alituambia paka ni paka usijali rangi yake bali jali ukamataji wa panya wake. Ninamuonea huruma Rais Magufuli kuhangaika na viwanda ambavyo vilikuwepo vikauzwa na kutelekezwa na waliouziwa. Bahati mbaya Katiba yetu hairuhusu kabisa hata watu wa aina hii walau hata kuhojiwa tu sembuse kushitakiwa. Itashangaza saana tena saana kama mwanamageuzi Rais Dr. Magufuli atatuachia Katiba la aina hii atakapokuwa na yeye ameondoka madarakani. Tena yeye ndiye ambaye atakuja kusononeka sana tena sana kama hivi viwanda vyake anavyovijenga kwa "kujitoa sadaka" vitakuja kuuzwa mchana kweupe kwa bei chee na Rais atakayefuata baada yake, maana kwa katiba hii kila kitu kinawezekana inabaki huruma tu za Rais aliyeko madarakani.
 
Jana kapewa vidonge vyake ............. sidhani kama bado ana hamu tena ya kuendelea kuto ushauri!!
 
Sasa hivi bwana Pombe anahaha mbugani kama Nyati aliyejeruhiwa vibaya. In such situations, wale wote wenye questionable track records wanapaswa kufunga mabakuri yao na kujificha kabisa. Otherwise ile offer ya "kuachwa wapumzike" inaweza kuondolewa. Bwana huyu hatabiriki kabisa.
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…