Amemalizwa pumzi na makinikia mkuu,muache mzee wa watu apumzike, at least for the time being.Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Mwacheni mzee wetu apumzike,yupo kwake LushotoKatika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Sasa hivi unatamani maoni na ushauri wa Mkapa?kweli mmebanwaBado tunamlipa lakini asijje akalisahau hilo. Maoni na ushauri wako kwetu sio hiari.
unaulizia kimya cha mzee nkapa na msoga.....tafakari kwa nini Mzee mwinyi anatamba sasa kwenye vyombo vya habari.
hana haki ya kupumzika? Apumzikaje wakati kaacha watu wanateseka? Kwanini aachwe apumzike?Mwacheni mzee wetu apumzike,yupo kwake Lushoto
Yupo sehemu kajichimbia na Acacia wanayajenga ili kesi ikienda mahakamani washinde achukue 10% yake kimya kimya.Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Acacia wapo nae wanapanga mikakatiMwacheni mzee wetu apumzike,yupo kwake Lushoto
Hivi kaacha bwax!
Yupo na Acacia wanajipanga kulinda masilahi yao.hana haki ya kupumzika? Apumzikaje wakati kaacha watu wanateseka? Kwanini aachwe apumzike?
Kupitia huyu mzee hapo ndio naona Mungu ni watafauti kwasabab vitoto vichanga vinakufa kila siku lakin hili zee limekomaa kunyoosha. Labda Mungu kalipa muda litubu lakini wapii
Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?