Mzee Mbeki na mzee Mkapa walipo mchana live Kagame

Mzee Mbeki na mzee Mkapa walipo mchana live Kagame

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
4,990
Reaction score
4,271
Hii siku hawa wazee waliamua kusema ukweli,tena Mzee Mkapa aliongea huku akimaanisha kabisa
natamani aje amfunde nakijana wake
 
Lugha nyeupe ni shida. Kagame kasifiwa jamaa anasema kachanwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] 1/4
 
Hii siku hawa wazee waliamua kusema ukweli,tena Mzee Mkapa aliongea huku akimaanisha kabisa
natamani aje amfunde nakijana wake

Siku hizi kila mtu kwenu mzuri,mnasubiri waongee tu,mfinyange maneno.Mlianza na Mwinyi,Jakaya akawashushua leo mmemdaka Mkapa.Bavicha tafute hoja thabiti muisimamie sio kusubiri watu waongee
 
jamani nina swali Moja tu kwa mzee Nkapa.... hivi haya madini yetu yanavobebwa na wazungu aka wakoloni wetu ni nani aliyabinafsisha??? maana mzee kawaka kweli kuhusu natural resources
 
Oohh my God..!! Language is the biggest barrier for many..!! Mtoa mada pole sana, how can we assist you..?
 
Mbona wamemsifia sana, tena Mkapa kasema Rwanda imepiga hatua kwenye elimu na afya kuliko hata nchi za Europe.

Mleta mada unatutegea au?

Europe ipi labda hao wanyarwanda wanaokimbilia India au kugawa panadol.
 
Thabo mbeki na mkapa wote wameongelea uongozi mbovu ila mkapa ndo angalau kasifia huduma za jamii rwanda...
 
Back
Top Bottom