Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,214
Labda na mm sikuelewa lugha naona km Mkapa anamfagilia Kagame rather than kumkosoa!Mh mbona wamempongeza Sana Kagame kuwa ni mfano kwa mavoresho ya afya na elimu kuliko ulaya
Labda na mm sikuelewa lugha naona km Mkapa anamfagilia Kagame rather than kumkosoa!Mh mbona wamempongeza Sana Kagame kuwa ni mfano kwa mavoresho ya afya na elimu kuliko ulaya
[emoji106] [emoji106]Mbona wamemsifia sana, tena Mkapa kasema Rwanda imepiga hatua kwenye elimu na afya kuliko hata nchi za Europe.
Mleta mada unatutegea au?
Hahahahahahaha mkuu relaxMleta mada hajaelewa chochote, nimejuwa ni 1 kati ya 4
Hii siku hawa wazee waliamua kusema ukweli,tena Mzee Mkapa aliongea huku akimaanisha kabisa
natamani aje amfunde nakijana wake
...Yaani HAZIJUI Ruhengeri, Remela, Kiyovu, Cangungu, ....?Hata Rwanda mwenyewe ukute hajawahi fika!
Mbona wamemsifia sana, tena Mkapa kasema Rwanda imepiga hatua kwenye elimu na afya kuliko hata nchi za Europe.
Mleta mada unatutegea au?
Wewe umeelewa vizuri kabisa,hata mkapa aliponda mwanzoni ila baadaye akapulizaMbeki alijaribu kung'ata ila mkapa akaibuka na kupuliza !
Umeniacha njia panda na matumizi ya hayo maneno lateral na sematic.. Nafikiri ulikuwa unamaanisha literal meaning na figure of speech...😀😀😀hii lugha si yetu hivyo tuvumiliane jamani! jamaa wameuma na kupuliza! hapa hawa wazee wamesifia maraisi vijana kuleta maendeleo ila pia wamechanwa kuwa wanawaza viti walivyookalia tu (uraisi) , ni wabinafsi , ni walafi na namna wameingia madarakani ni utata mtupu na si afrika ya usawa na haki tunayotaka! ukisoma HGL utajifunza kitu kinaitwa LATERAL MEANING NA SEMATIC MEANING , mfano ( mkate LATERAL MEANING au maana halisi ni mkate tu ambacho ni chakula , SEMATIC MEANING yake , au maana ya ndani mkate ni ujira wa kazi au riziki , eeh baba utupe mkate wetu wa kila siku!!)! hivyo semantically KAGAME amechanwa mbaya kabisa! mleta mada yuko sahihi from my English taught by teacher wangu mlokole wa Arusha!
Hii siku hawa wazee waliamua kusema ukweli,tena Mzee Mkapa aliongea huku akimaanisha kabisa
natamani aje amfunde nakijana wake
Hakuna kitu kinachoitwa lateral meaning Bali ni literal meaning. Shenzi mbwa weehii lugha si yetu hivyo tuvumiliane jamani! jamaa wameuma na kupuliza! hapa hawa wazee wamesifia maraisi vijana kuleta maendeleo ila pia wamechanwa kuwa wanawaza viti walivyookalia tu (uraisi) , ni wabinafsi , ni walafi na namna wameingia madarakani ni utata mtupu na si afrika ya usawa na haki tunayotaka! ukisoma HGL utajifunza kitu kinaitwa LATERAL MEANING NA SEMATIC MEANING , mfano ( mkate LATERAL MEANING au maana halisi ni mkate tu ambacho ni chakula , SEMATIC MEANING yake , au maana ya ndani mkate ni ujira wa kazi au riziki , eeh baba utupe mkate wetu wa kila siku!!)! hivyo semantically KAGAME amechanwa mbaya kabisa! mleta mada yuko sahihi from my English taught by teacher wangu mlokole wa Arusha!