[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lini mbatia kawa mzee? Sasa kama mbatia ni mzee, wasira awe nani? Hii tabia ya kuita watu wazee wakati hawajaufikia huo uzee si nzuri
neno mzee limekuwa likitumika mahali si pake, unakuta kijana anaitwa mzee, huko ni kutoa heshima isiyostahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tangu lini Mbatia akawa kijana?!!
hiyo ni heshima yake kutokana na UMRI alio fikia.
Mzee Mbatia.
Mzee Mbowe.
Mtu yeyote "smart" huwa haongei kwa Jazba na chuki, Mbatia hafit kwenye kundi la watu "smart"Mbatia Yuko smart Sana kichwani
Kwahiyo sabaya unataka kumfananisha na KAMANDA MBOWE?AISEE KICHWAN UMEWEKA MAFUTA YA TAA?Yaani huu unafiki wa Mbatia upo wazi kabisaa.
siku alipo shitakiwa Sabaya, Mbatia alijitokeza hadharani na akapongeza kuwa Serikali inafuata utawala wa sheria lkn siku alipo kamatwa swahiba wake mbowe, Mbatia alijitokeza bila aibu na kushinikiza eti mbowe aachiwe huru hana hatia!!!
huu ni unafiki wa wazi alio uonyesh mzee mbatia, yaani anaona watu wote ni wajinga!! namshauri aache kueneza chuki.
Utawala wa Sheria ni pamoja na kubambikia watu kesi? Yaani serikali ikisjisikia kushitaki Mtu inakamata inatengeneza mashahidi wa kubumba inapeleka raia mahakamani? Kwako Kwa vile kesi fake iko mahakamani ndo utawala wa Sheria? Hivyo vichwa mnabeba vya nini kama ndani yake Hamna ubongo?Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6.
Msingi wa chuki zake zinatokana na Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi.
Mzee Mbatia tangu siku ya kwanza Mbowe alipo fikishwa mahakamani hakuonyesha kuheshimu utawala wa sheria na alidiriki kutoa matamko kuwa Mbowe aachiwe huru!!!
huyu ndio Mbatia asiye jali wala kuheshimu utawala wa sheria kisa eti swahiba wake kafikishwa mahakamni!!!
Ni vyema mbatia akajifunza kuheshimu Utawala wa Sheria, namshauri akae kimya kuhusu suala la mbowe, aache vyombo vyenye mamlaka ya kikatiba vitimize majukumu yake.
Namshauri Mbatia aache kueneza chuki dhidi ya Serikali ya awamu hii 6, atumie demokrasia vizuri.
Namshauri Mbatia aache tabia ya kudharau mamlaka.
Mwisho namshauri Mbatia kama amechoka kufanya siasa ni bora akajiuzulu kuliko kueneza chuki na kudharau mamlaka.
Stupid minds!! Ugaidi wa Mbowe ulianza lini? Unafahamu gaidi anafananaje?Yaani huu unafiki wa Mbatia upo wazi kabisaa.
siku alipo shitakiwa Sabaya, Mbatia alijitokeza hadharani na akapongeza kuwa Serikali inafuata utawala wa sheria lkn siku alipo kamatwa swahiba wake mbowe, Mbatia alijitokeza bila aibu na kushinikiza eti mbowe aachiwe huru hana hatia!!!
huu ni unafiki wa wazi alio uonyesh mzee mbatia, yaani anaona watu wote ni wajinga!! namshauri aache kueneza chuki.
Abambikiwe mbowe kwa lipi haswa?!Utawala wa Sheria ni pamoja na kubambikia watu kesi? Yaani serikali ikisjisikia kushitaki Mtu inakamata inatengeneza mashahidi wa kubumba inapeleka raia mahakamani? Kwako Kwa vile kesi fake iko mahakamani ndo utawala wa Sheria? Hivyo vichwa mnabeba vya nini kama ndani yake Hamna ubongo?