Mzee Massawe na Mzee Temba

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,351
Reaction score
44,953
Siku moja Mzee Temba alikwenda kumtembelea Mzee Masawe nyumbani kwake. Katika mazungumzo yao Mzee Temba alimshangaa sana Mzee Masawe alipomwona kijana wa kiume wa Mzee Masawe wa miaka kama 30 akiishi na baba yake nyumba moja.

Basi mazungumzo yao Yalikuwa hivi:

Mzee Temba: Aisee inakuwaje hadi leo huyu kijana wako Marcel bado anakaa hapa nyumbani kwako?

Mzee Masawe: Hata mimi namshangaa sana embu muite umuulize maana hata sijawahi sikia hata amesingiziwa kesi ya kuiba kuku. Yeye anakaa tu ndani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…