Mzee mangula umevaa nn sasa?


Ikulu ya waTanzania
 
Umeona na kutathmini Jk anavyopenda kuvaa mashati ya mauamaua siku hizi? Huenda hii ni fasheni mpya!!
 
Ndio maana imekuwa 'bahati mbaya' kwake kuishi kwenye jimbo la Mh. Halima Mdee - Kawe!
 
Kuna kutu watu wanaita " generation gap". Wakti ni ukuta baba, huwezi kushindana nao.
 
wewe koma kwani wanawake ndo tunaowachagulia nnguo?
si mnajifanya nyie wabishi sana tukiwaambia mtokelezee kimtoko
hamtaki mnataka mvae kivyennu ona mwenzenu alivyowaabisha hapo
mwambieni nyie sio mseme mkewe hakumwambie labda ni bishi kwa mkewe.
 
hiyo staili inaitwa BAHAMA UJIUJI....na LABA MTONI ,...
 
Du mkewe anajitahidi kumpiga pamba nyie mnaponda, kwi kwi kwiiiiii
 
hiyo staili inaitwa BAHAMA UJIUJI....na LABA MTONI ,...

Hahah na huenda katupia suruali ya mchele mchele...
Enzi zetu shati kama hilo ulikuwa wavalia na suruali ya jeans ya mawingu mawingu...teh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…