Mzee Mangula, Kinana na mzee Luhwavi, Ulanga Malinyi CCM imegushi matokeo

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
USIKU WA LEO CCM WATANGAZA MATOKEO YALOGUSHIWA JIMBO LA MALINYI LICHA UTHIBITISHO KUWAPO.

CCM Wilaya Ulanga iko ktk kashfa ya kugushi matokeo ya KURA ZA MAONI ili kumnufaisha mmoja wa Mgombea aliyeshika nafasi ya pili ktk mchakato huu 2010 kwani kwa matokeo halisi ya 2015 amejikuta ameporomoka na kushika nafasi ya tatu Mgombea huyu ameendesha Kampeni za Kilaghai na amekuwa akiwatumia baadhi Watendaji wa CCM ambapo imebainika Katibu wa CCM Kata ya Malinyi Bi Karolina Kitungutu akisaidiwa na Katibu Msaidizi wa Wilaya Bi Hellen Dugillo wamegushi matokeo rasmi yanayoonyesha kuwa Dkt. Mponda ameshinda kwa kura 3680 na Kuafuatiwa na Antipas Mgungusi mwenye kura 2500 huku Mgombea aliyeongezewa KURA haramu Yassin Njayagha akijipatia Kura 1800 nafasi ya nne ikiwa imechukuliwa na Kiyawike ilihali Tira akiwa nafasi ya tano.

Wagombea Mfaume na Kayela wakiwa ndio wanahitimisha namba za ushindani.

Katika taarifa iliyowasalishwa na Katibu Msaidizi akishirikiana na Katibu wa Uchumi Ulanga Ndg Tenga imeonyesha Mtia nia Yassin Njayagha akiwa ndie mshindi namba mbili…ilihali ni udanganyifu wa mchana peupeee!!!

Bi Kitungutu amebainika kufoji fomu za matokeo kata ya Malinyi kwa mfano mahala ambapo huyu Njayagha amepata KURA halisi 14 basi huongeza 0 na kusomeka 140 baadala ya 14 ya awali.

Mchezo huu umefanywa mpaka kumuongezea takribani kura 1500 haramu.

Leo CCM WILAYA ILISHINIKIZA MATOKEO KUSAINIWA Lakini Mgombea aliyeporwa KURA na nafasi yake halisi amegomea isipokuwa wagombea namba 4,5,6,7 ambao kwa sasa wameungana na Njayagha ktk UHALIFU huu wa makusudi unaofanywa naye na baadhi ya wana CCM ULANGA.

Antipas Mgungusi amehujumiwa sana na genge hili, likitumia vitisho vya PCCB kumdharirisha ili kumpunguzia uungwaji mkono mbele ya UMMA amepinga matokeo haya na kuiomba CCM Ulanga iruhusu haki kwa njia ya ushahidi, matawi na kata husika sasa zimeamua kwenda CCM wilaya wakiwa na vielelezo halisi na kubainisha hila za kughushi kulikofanywa na Watendaji wao Naibu katibu wa CCM wilaya na Mchumi wa Wilaya kwa ushirika na Katibu Kata CCM Malinyi.

Tunaitoa taarifa hii hapa mapema ili kuwapa ANGALIZO NA KUWAOMBA CCM TAIFA NA MKOA kumpa ushirikiano ama maelekezo M/kiti CCM Ulanga na Katibu wake kutoa Takwimu sahihi za KURA YA MAONI kwa vikao vya juu na siyo taarifa hii iliyopikwa kwa mpango wa FITINA na UDANGANYIFU.

Tunawaomba CCM kuwachukulia hatua mara moja watumishi hawa ili kurejesha imani na amani CCM Ulanga. MCHEZO HUU ULIFANYWA 2010 WANANCHI WAKATULIA SASA IMEJIRUDIA NA KUONGEZEWA MITINDO MIPYA! HII NI HATARI KWA CHAMA HIKI CCM.

Kuna udanganyifu mkubwa umefanywa tarafa ya Mtimbira lakini licha taarifa hizi kuwafikia CCM Wilaya sasa UONGOZI unabariki dhuluma mpya tena dhariri kwa KIJANA MDOGO ALIYELELEWA NA CCM YENYEWE.

WANAODANGANYWA HAPA SI CCM TAIFA AU MKOA BALI NI WAO ULANGA NA MATUNDA YA UDANGANYIFU NI KUIONDOLEA CCM UHALALI NA IMANI KWA UMMA. TAARIFA HIZI ZIKO MEZANI KWA MWENYEKITI CCM ULANGA,KATIBU WAKE WA WILAYA ILA NI WAZI WAMELEMEWA NA GENGE LENYE DHAMIRA YA KUINGAMIZA CCM MALINYI.

TUNAWASIHI SANA MCHUKUE HATUA ILI KESHO HAKI ITENDEKE, LAKINI PIA CHAMA KIANGALIE AINA ZA WANA CCM WANAOJITOKEZA KUWANIA UONGOZI WAKI.KINACHOTOKEA ULANGA NI DHAMIRA OVU KUITAWALA HAKI.

CCM TAIFA TUNAWAPA HABARI HII INGALI YA MOTO NA MNAWEZA KUWASILIANA NA M/KITI WA CCM WILAYA NDUGU KHALID NYALYOTO NA KATIBU WAKE WA WILAYA ILI KU VERIFY.

MUNGU IBARIKI MALINYI, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Bado uko CCM we Jamaaa!!Kamanda ImelDa atawanyosha tu!!tulieni tuliiiii october 25 Dawa iwaiingie!!
 
Wanamnyanyasa kijana kisa ana kipato cha mshahara tu...kama wanaipenda ccm wajipime kwa haki na waangalie kijana alivyoshindana na fedha na ulaghai ama vitisho vya majambazi wa demokrasia ndani ya ccm...akiwa mkiwa amesimama mkakamavu,mweredi na mwingi wa maarifa yalokonga mioyo ya wana ccm wilaya mpya malinyi. Mimi nimewapaeni taarifa sahihi ni jukumu lenu kushughulika na viongozi wenu ccm ulanga... Nimetafuta sana namba ya naibu katibu mzee luhwavi na kama ningelikuwa dar es salaam kesho asubuhi ningelikuwa ofisi ndogo lumumba kuyaeleza haya kinaga ubaga. Ninabaki kuwa mwana ccm mwaminifu
 
HII INA PARAGARAPHY...NILIANDIKA NIKIWA GARINI TENA NIKIWA NAJIULIZA KUNA NININI CCM? USIKU WA LEO CCM WATANGAZA MATOKEO YALOGUSHIWA JIMBO LA MALINYI LICHA UTHIBITISHO KUWAPO. CCM Wilaya Ulanga iko ktk kashfa ya kugushi matokeo ya KURA ZA MAONI ili kumnufaisha mmoja wa Mgombea aliyeshika nafasi ya pili ktk mchakato huu 2010 kwani kwa matokeo halis ya 2015 amejikuta ameporomoka na kushika nafasi ya tatu Mgombea huyu ameendesha Kampeni za Kilaghai na amekuwa akiwatumia baadhi Watendaji wa CCM ambapo imebainika Katibu wa CCM Kata ya Malinyi Bi Karolina Kitungutu akisaidiwa na Katibu Msaidizi wa Wilaya Bi Hellen Dugillo wamegushi matokeo rasmi yanayoonyesha kuwa Dkt. Mponda ameshinda kwa kura 3680 na Kuafuatiwa na Antipas Mgungusi mwenye kura 2500 huku Mgombea aliyeongezewa KURA haramu Yassin Njayagha akijipatia Kura 1800 nafasi ya nne ikiwa imechukuliwa na Kiyawike ilihali Tira akiwa nafasi ya tano..wagombea Mfaume na Kayela wakiwa ndio wanahitimisha namba za ushindani. Katika taarifa iliyowasalishwa na Katibu Msaidizi akishirikiana na Katibu wa Uchumi Ulanga Ndg Tenga imeonyesha Mtia nia Yassin Njayagha akiwa ndie mshindi namba mbili…ilihali ni udanganyifu wa mchana peupeee!!! Bi Kitungutu amebainika kufoji formu za matokeo kata ya Malinyi kwa mfano mahala ambapo huyu Njayagha amepata KURA halisi 14 basi mama huyu ameongeza 0 mbele na kusomeka 140 baadala ya 14 ya awali. Mchezo huu umefanywa mpaka kumuongezea takribani kura 1500 haramu. Hiki ni kituko lakini ndicho kilichofanyika Malinyi na Igawa. Leo CCM WILAYA ILISHINIKIZA MATOKEO KUSAINIWA Lakini Mgombea aliyeporwa KURA na nafasi yake halisi amegomea kukubaliana na usaliti huu isipokuwa wagombea namba Vincent Tira,Hidaya Usanga,na Yasin Njayagha ambao kwa sasa wameungana na kuwa timu Njayagha ktk UHALIFU huu wa makusudi unaofanywa naye na baadhi ya wana CCM ULANGA kwa kile wanachosema hawako tayari kuruhusu Mgungusi awashinde ilihali wao ndio wakongwe na wenye Malinyi! Ubaguzi huu umetumika sana kumpiga vita kijana huyu ambaye aliishi Malinyi utotoni na shule ya awali ila baada ya kuanza shule seriously akawa nje ya Malinyi kujielimisha na akajikuta anarejea rasmi Malinyi 2008 baada ya kuhitimu Shahda ya kwanza na kushinda Uchaguzi wa Uwakilishi wa Baraza Kuu UVCCM Ulanga..Hoja hii ya kumbagua ilitumiwa sana na wagombea wane toka tarafa ya Malinyi ikashindwa kuzaa matokeo walotaka na sasa wameamua kumla nyama kigaidi. Antipas Mgungusi amehujumiwa sana na genge hili, likitumia vitisho vya PCCB kumdharirisha ili kumpunguzia uungwaji mkono mbele ya UMMA amepinga matokeo haya na kuiomba CCM Ulanga iruhusu haki kwa njia ya ushahidi, matawi na kata husika sasa zimeamua kwenda CCM wilaya usiku huu wakiwa na vielelezo halisi na kubainisha hila za kughushi kulikofanywa na Watendaji wao Naibu katibu wa CCM wilaya na Mchumi wa Wilaya kwa ushirika na Katibu Kata CCM Malinyi. CCM Mkoa na Taifa mnatambua umbali uliopo kati ya Malinyi kwenda Mahenge…uamuzi huu ni wa maslahi mapana kwa CCM ili isifanye kosa. Tunaitoa taarifa hii hapa mapema ili kuwapa ANGALIZO NA KUWAOMBA CCM TAIFA NA MKOA kumpa ushirikiano ama maelekezo M/kiti CCM Ulanga na Katibu wake kutoa Takwimu sahihi za KURA YA MAONI kwa vikao vya juu na siyo taarifa hii iliyopikwa kwa mpango wa FITINA na UDANGANYIFU. Tunawaomba CCM kuwachukulia hatua mara moja watumishi hawa ili kurejesha imani na amani CCM Ulanga. MCHEZO HUU ULIFANYWA 2010 WANANCHI WAKATULIA SASA IMEJIRUDIA NA KUONGEZEWA MITINDO MIPYA! HII NI HATARI KWA CHAMA HIKI CCM. Kuna udanganyifu mkubwa umefanywa tarafa ya Mtimbira jumamosi hii lakini licha taarifa hizi kuwafikia CCM Wilaya hawakufanya la maana na sasa UONGOZI huu wa CCM Ulanga unabariki dhuluma mpya tena dhariri kwa KIJANA MDOGO ALIYELELEWA NA CCM YENYEWE huku ikijua uwezo na uaminifu wake kwa CCM hauna mashaka wala dosari. WANAODANGANYWA HAPA SI CCM TAIFA AU MKOA BALI NI WAO ULANGA NA MATUNDA YA UDANGANYIFU NI KUIONDOLEA CCM UHALALI NA IMANI KWA UMMA. TAARIFA HIZI ZIKO MEZANI KWA MWENYEKITI CCM ULANGA, KATIBU WAKE WA WILAYA ILA NI WAZI WAMELEMEWA NA GENGE LENYE DHAMIRA YA KUINGAMIZA CCM MALINYI. TUNAWASIHI SANA MCHUKUE HATUA ILI KESHO HAKI ITENDEKE, LAKINI PIA CHAMA KIANGALIE AINA ZA WANA CCM WANAOJITOKEZA KUWANIA UONGOZI WAKE…KINACHOTOKEA ULANGA NI DHAMIRA OVU KUITAWALA HAKI. CCM TAIFA TUNAWAPA HABARI HII INGALI YA MOTO NA MNAWEZA KUWASILIANA NA M/KITI WA CCM WILAYA NDUGU KHALID NYALYOTO NA KATIBU WAKE WA WILAYA ILI KU VERIFY. MUNGU IBARIKI MALINYI, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kumbe ndio maana ikawa hivi....Duuuuuuuu
 
Solution rahisi sana

Kama wamechakachua na nyie wachakachueni kwa kumpa kura mgombea wa UKAWA

As simple as that!!
 
Mla, huliwa, Wamewachakachua wananchi nanyi achakachuene kwenye kura za kitaifa nendeni upande wapili
 
Na hii tabia ya kuwasimika watu ambao si chaguo halisi la mpiga kura kwa sass imekuwa ni mfumo wa upatikanaji viongozi ndani ya ccm.

hii tabia haitibadilika, mwananchi hatokaa apate kiongozi atakaempigania jimboni mwake zaidi ya kuwekewa tu.

shame on them
 
Back
Top Bottom