Mzee Mamvi kuikacha chadema baada ya Uchaguzi kuisha.

Mzee Mamvi kuikacha chadema baada ya Uchaguzi kuisha.

Kevoo_keroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
771
Reaction score
163
Kama mnakumbuka baada ya kuhojiwa na zuhura yunus kuwa atafanya nn kama akikosa urais, alikiri atarudi kijijini kwake kuendeleza maisha yake na kufanya shughuli zake za mfumo. Hatobaki chadema. CHADEMA wajiandae na hili
 
Back
Top Bottom