General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Hii inasikitisha sana, kiongozi mkubwa ambaye unauzao bungeni lakini Haonekani kwenye baraza au hata unaibu waziri.
Wazee wetu ambao wamelea na kuacha lulu ni Mzee mwinyi na Makamba ambao watoto wao ni sehemu ya baraza la mawaziri.
Namuonea huruma Mzee wangu kikwete kushindwa hata kumjenga mwanae kupata hata unaibu waziri, pole sana.