Mzee majuto amepeleka wapi hela zake?

Ududu

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
1,020
554
Hivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini kwenye screenshot ni mahojiano ya Millard na mzee Majuto mwaka jana.

Mi bado nawaamini wacheza Sinema.
Screenshot_20180428-175423.jpg
 
Mkuu ndio wasanii wetu hawa yani adi maisha halisi wanayaletea usanii matokeo yake ndio hayo, watu wanajua wapo vizuri kumbe porojo tu
 
Hivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini kwenye screenshot ni mahojiano ya Millard na mzee Majuto mwaka jana.

Mi bado nawaamini wacheza Sinema. View attachment 759256
Mahojiano ya wasanii hayaaminiki kama ahadi za wanasiasa
 
Sasa wanafanya watu washindwe kuwasaidia wakipata matatizo. Leo unasikia Diamond tajiri wa kutupwa na badae utasikia anataka msaada
 
Hili jambo kwa wasinii wetu bado linawatesa. Maneno kibao lakini shida kidogo tayar misaada huwa pesa zao ni figure tu kwenye makaratasi
 
Kutoa ni Moyo
Mzee Majuto hajaomba mtu msaada
Isipokuwa mashabiki wake tu ndio wanaumia kumuona anaumwa na kujiuliza kwann asiende ktk hospitali za nje kwa matibabu zaidi,ndio wanaamua kumchangia
Mzee majuto ni mtu wa watu,
Na ndio maana siku ya kwanza kupelekwa muhimbili ikasemekana kuwa kakosa kitanda,JPM mwenyewe ilibidi afanye ziara ya kushtukiza muhimbili ili akamskie kilio chake Majuto lkn kwa hekma na busara za mzee majuto alisema kuwa kapokelewa vizuri
 
Huyu Mzee watu watakuwa wanampiga pesa Nadhani au hayuko vizuri kwenye mikataba anayoingia.. Ukiachia pesa ya filamu,Mzee kafanya matangazo mengi sana..Hakutakiwa kuwa mtu wa shida shida
 
Kutoa ni Moyo
Mzee Majuto hajaomba mtu msaada
Isipokuwa mashabiki wake tu ndio wanaumia kumuona anaumwa na kujiuliza kwann asiende ktk hospitali za nje kwa matibabu zaidi,ndio wanaamua kumchangia
Mzee majuto ni mtu wa watu,
Na ndio maana siku ya kwanza kupelekwa muhimbili ikasemekana kuwa kakosa kitanda,JPM mwenyewe ilibidi afanye ziara ya kushtukiza muhimbili ili akamskie kilio chake Majuto lkn kwa hekma na busara za mzee majuto alisema kuwa kapokelewa vizuri
kaomba msaada katafute mahojiano yake na shilawadu utaona na kusikia akiomba msaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom