mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,352
- 980
Nakazia
Magoma apewe Yanga yake...
DUh!Wazee wa Yanga wapo nyuma ya huyu Mzee mwenzao. Hii ni backup plan yao ikitokea huko mbeleni Hersi akazingua au ikifikia mipango yake isipokubaliwa na vyura.
Hii kesi itaelea elea hivyo hivyo ila itakuja kufufuliwa wakati itakapohitajika.