Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi Lema anawatia moyo

Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
7,162
Likes
20,178
Points
280
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
7,162 20,178 280
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
 
Attachments:

M

mwanza

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2009
Messages
663
Likes
266
Points
80
M

mwanza

JF-Expert Member
Joined May 7, 2009
663 266 80
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Madiba aliwekwa ndani kwa kupigania uhuru wa SA huyu Lema katiwa ndani kwa sababu ya matusi yake ni vitu viwili tofauti na huwezi kuwalinganisha hao wawili
 
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
7,162
Likes
20,178
Points
280
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
7,162 20,178 280
Nenda kamwambie Malisa aache upuuzi Madiba aliwekwa ndani kwa kupigania uhuru wa SA huyu Lema katiwa ndani kwa sababu ya matusi yake ni vitu viwili tofauti na huwezi kuwalinganisha hao wawili
Kitu kimoja ambacho rais anafikiri yeye ni Mungu na kwasababu amefikiri yeye ni Mungu, basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya Uchaguzi wa 2020".Godblesss Lema
 
D

Duterte

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
1,066
Likes
1,106
Points
280
D

Duterte

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2016
1,066 1,106 280
Lema anashindwa kuwapigania wapiga kura wake wapate Maji safi, elimu bora na Afya bora. Unawezaje kumfananisha na Mandela!? What a joke!
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,826
Likes
13,921
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,826 13,921 280
Kuna ukingo mkubwa sana unaotenganisha baina ya Madiba na Lema

Madiba hajawahi kutuhumiwa kwa ubakaji. Lema aliwahi kutuhumiwa kumbaka Flora Lymo huko Uingereza.

Madiba hajawahi kutuhumiwa kwa ujambazi. Lema ni mtuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha akijihusisha na wizi wa Magari.
 
D

Danny greeny

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
3,864
Likes
1,177
Points
280
D

Danny greeny

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
3,864 1,177 280
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Labda anawatia moyo Mashoga Wenzie wa ufipa na Arusha.

NB: mashoga kwa tafsiri ya mke wa Lema bi. Neema ni Marafiki

J

Jozi 1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
5,918
Likes
3,043
Points
280
J

Jozi 1

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
5,918 3,043 280
Kitu kimoja ambacho rais anafikiri yeye ni Mungu na kwasababu amefikiri yeye ni Mungu, basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya Uchaguzi wa 2020".Godblesss Lema
Hayo sio maneno ya Godless Lema, hana haya ujasiri wa kukiri ni maneno yake...ameishia kudai ni ndoto....
Kamchezo ka kudai "ndoto" kalianza baada ya kuundwa kwa cryber crimes law. Sasa imekula kwake sijaona jamaa muoga kama huyu anataka watu tufuate ndoto zake za usingizini...
 
J

Jozi 1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
5,918
Likes
3,043
Points
280
J

Jozi 1

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
5,918 3,043 280
Lema anashindwa kuwapigania wapiga kura wake wapate Maji safi, elimu bora na Afya bora. Unawezaje kumfananisha na Mandela!? What a joke!
Ha ha ha Lema anapigania ndoto ya kifo cha Magufuli...

Kuna wanasiasa walikuwa wana njozi za mbali...kina Martin Luther King... " I have a dream....."
Sasa hili chaka la ndoto ya Lema imegeuka kuwa jinamizi la binafsi.
 
K

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
1,929
Likes
1,009
Points
280
Age
39
K

kilama

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
1,929 1,009 280
Ila kikweli mim nilikuwa mkereketwa mkubwa sana wa chadema kutokana na kile walichokuwa wakinena kuhusu wizi na matatizo mengi ya kiutendaji katika serikali lakin baada ya huyu magufuri kufanya yaliyokuwa upande wao sina tena sababu ya kuendelea kuwa huko na sipo katika chama chochote cha siasa, sijui hata chadema wanachohangaikia ni nini hasa huyu lema. Ukihangaika na haya mavyama ukasahau haya mambo yana msimu utaonekana wa ajabu sana. Na kingine kinachokatisha moyo ni huyu mwenyekiti wa chadema taifa namwona ni mtu mjanja mjanja sana ni kitu kibaya sana kwa mwenyekiti kuwa na vituhuma vya uwizi uwizi na ujana ujanja.hapa ndipo ninapomwelewa zitto kabwe juu ya zile tuhuma za mbowe na nimrodi mkono na majibu yaliyotolewa kwamba zitto asiibue tuhuma mpya ajibu tuhuma zake: haya ni majibu ya hovyo kabisa kwa mwanasias anayetegemea uungwaji mkono kutoka kwa watu.
 
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Messages
2,726
Likes
2,751
Points
280
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined May 20, 2010
2,726 2,751 280
Anawatia moyo wananchi wa Arusha wawe marafiki, yaani "mashoga" kwa lugha ya Lema, nyie watu mna madharau sana.
 
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Messages
9,197
Likes
4,848
Points
280
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2013
9,197 4,848 280
Acheni kumfananisha Mzee Madiba na vitu visivyoeleweka vinatafuta nini huko ni kumdhalilisha Mzee Mandela.

Kuweni na heshima kwa hawa wazee wetu.
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
[
 
O

Ongata

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
525
Likes
1,185
Points
180
O

Ongata

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
525 1,185 180
Vipi Mawazo mwenyekiti wa cdm Geita tokea wamuue ccm hatusikii kesi wala nini na wahuaji hawajulikani Kama wamo ndani kwasabbu tokea ccm wamuue Mawazo mwaka umeisha hakuna kesi,lakini Lema kuota ndoto tu kuwa Magufuli asijifananishe na mungu imekuwa shida,lkni ccm pale walipoua Mawazo kimya juu ya hili suala
 
M

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Messages
1,664
Likes
1,125
Points
280
Age
119
M

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2016
1,664 1,125 280
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Yaani Lema awatie moyo watu wa ARUSHA kwa jambo la kijinga kama lile basi wote wa ARUSHA watakuwa wajinga, Naamini hakuna watu wenye busara huko Arusha wanaoshabikia ujinga huo wa Lema, LABDA WANACHADEMA WALIOHARIBIWA UBONGO KWA MATUMIZI YA MIRUNGI. GONGO, VIROBA, BANGI NK NDIO WANASHABIKIA UPUUZI HUO WAKIWEMO HAO AKINA GODLESS MALISA.
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
19,867
Likes
12,089
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
19,867 12,089 280
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Bavicha bana,mmefikia ya kumlinganisha Mandela na muhuni?
 
L

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Messages
856
Likes
355
Points
80
L

lubamba

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2015
856 355 80
Kuna ukingo mkubwa sana unaotenganisha baina ya Madiba na Lema

Madiba hajawahi kutuhumiwa kwa ubakaji. Lema aliwahi kutuhumiwa kumbaka Flora Lymo huko Uingereza.

Madiba hajawahi kutuhumiwa kwa ujambazi. Lema ni mtuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha akijihusisha na wizi wa Magari.
Kuna mtu aliwahi sha
Anawatia moyo wananchi wa Arusha wawe marafiki, yaani "mashoga" kwa lugha ya Lema, nyie watu mna madharau sana.
 
L

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Messages
856
Likes
355
Points
80
L

lubamba

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2015
856 355 80
Kuna mtu aliwahi sha
Kabla ya mtu hujaanzisha mada kumbuka dunia inazunguka kwenye mhimili ndo sababu Trump hakutegemewa na wengi kuwa rais wa dunia lakini sasa ndo hivyo tena.Muungwana aliwahi sema tujifunze kuweka akiba baadhi ya maneno.Daa Tuwe na hofu ya Mungu watu na familia zao kuitwa mashoga na mbaya zaidi kuitwa hivyo na mtu anayeweza tumwa sokoni na hao watu
 
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
4,862
Likes
4,042
Points
280
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
4,862 4,042 280
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Anawatia moyo wezi wa magari kuwa one day yes!
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,948
Likes
7,599
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,948 7,599 280
Kuna ukingo mkubwa sana unaotenganisha baina ya Madiba na Lema

Madiba hajawahi kutuhumiwa kwa ubakaji. Lema aliwahi kutuhumiwa kumbaka Flora Lymo huko Uingereza.

Madiba hajawahi kutuhumiwa kwa ujambazi. Lema ni mtuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha akijihusisha na wizi wa Magari.
Acha kuandika porojo za vijiweni hapa!
 
Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,742