Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 912
- 4,249
Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako
Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa katibu mkuu wa chama. Nafasi ambayo awali Kinana aliitumia kumwadhibu Lowasa. Wote hawa wakati wanamwadhibu Lowasa waliamini wao wataweka watu wao wanaoweza kilisogeza gurudumu la kazi za ccm mbele.
CCM imeparaganyika after Lowasa imebidi wakawatafute wanafunzi wa Lowasa wawape kazi yakutumia mbinu za nguli huyu kujisahihisha.
Nchimbi kuwa KM imemfariji sana Lowasa na amelala kwa amani kama shujaaaa.
Hoja ni Je, JK na familia yake atashiriki msiba huu? Je, JK amejifunza nn ugomvi wa Uhuru na Ruto Kenya?