Mwanamuziki wa zamani Mzee Kungubaya, amefariki jioni hii, alikuwa amelazwa kwa shida ya Pressure na baadae aligundulika kuwa na tatizo la Figo
Kwa wale wasikilizaji wa zamani wa RTD kulikuwa na kipindi cha Salamu kwa Wagonjwa, ule wimbo wa kuanzia na kumaliza kipindi ulitungwa na kuimbwa na Mzee Kungubaya
Update
Mzee amezikwa leo saa kumi jioni maeneo ya Mbezi Msigani, amekufa na umri unaokadiliwa kuwa miaka 78
RIP
Nakumbuka wimbo huu, uliimbwa kila jumapili saa nne asubuhi enzi hizo:
Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini wote tunawapa poleeee
Ajuaye Mungu kuwa mtu yuko salaaaam wote tunawapa poleeee
Mwanamuziki wa zamani Mzee Kungubaya, amefariki jioni hii, alikuwa amelazwa kwa shida ya Pressure na baadae aligundulika kuwa na tatizo la Figo
Kwa wale wasikilizaji wa zamani wa RTD kulikuwa na kipindi cha Salamu kwa Wagonjwa, ule wimbo wa kuanzia na kumaliza kipindi ulitungwa na kuimbwa na Mzee Kungubaya
Wakati umewajia wa salamu kwa wagonjwa mahosipitalini wote tunawapa pole,ajuaye bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama wote tunawapa pole,......