Mzee Kingunge atumia Bajaj kama usafiri

Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.

Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.

Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.

Hakika watu wanazidi kulimia meno.

 
Hujui foleni za mjin, sasa hukutegemea ngombale kukwepa foleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…