Mzee Kigwangalla afariki Dunia huko India 8 Feb 2015

Peter Dafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
394
Reaction score
272
Mzee wetu baba yake Dr Hamis Kigwangalla Mbunge wa Nzega na Mwekiti wa TAMISEMI, Mzee Kigwangalla amefariki dunia huko nchini India alikokuwa anatibiwa..

Mzee Kigwangalla Alisafirishwa Na Mwanae Dr Hamisi Kigwangalla kwenda India Tarehe 3 Feb Ambapo alifanyiwa Upasuaji wa Moyo Na Akatoka Salama lakini Leo hii Amezidiwa Akarudishwa Chumba cha Upasuaji nakwabahati Mbaya Ametukoka.

Bwana Alitoa Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe.

Pumzika kwa amani mzee wetu

UP DATE.

Kutoka India Mh Mbunge wa Nzega Dr Hamisi Kigwangalla yuko anashulkia Kupata Usafiri wa Kusafirisha Mwili wa Baba yake Mzazi Kutoka India Mpaka Tabora, Moja Kwa Moja Na Kisha Kwenda Kuzika Goweko Mlimani Na Msiba Kufanyika Nzega.
Haya nimaelezo ya Awali tuendelee kufuatilia hapa.

Up date

Tuko Kilimatinde Road Kuelekea Goweko Kijijini Milimani kumzika Baba wa Mbunge wangu wa Nzega Dr Hamisi Kigwangalla.
Safari ilitokea Nzega ambapo Mwili wa Baba ulilala pale baada ya kutoka india Jana Tarehe 11 Feb 2015.
Mwili ulipitiliza Mwanza Na Ndege kisha Kuja kulala Nzega.

Mazishi yatafanyika Leo Tarehe 12 Feb 2015 Goweko Kijijini kwenye Makaburi ya Wazee, Mababu wa Ukoo wa Mzee Kigwangalla.
 
pole mzee umetutoka wakati mwanao akijiandaaa kuhamia chadema kwakua ccm watampitisha hussein bashe kugombea ubunge nzega
 
Mzee wetu baba yake Dr Hamis Kigwangalla Mbunge wa Nzega na Mwekiti wa TAMISEMI, Mzee Kigwangalla amefariki dunia huko nchini India alikokuwa anatibiwa..

Mzee Kigwangalla Alisafirishwa Na Mwanae Dr Hamisi Kigwangalla kwenda India Tarehe 3 Feb Ambapo alifanyiwa Upasuaji wa Moyo Na Akatoka Salama lakini Leo hii Amezidiwa Akarudishwa Chumba cha Upasuaji nakwabahati Mbaya Ametukoka.

Bwana Alitoa Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe.

Pumzika kwa amani mzee wetu

Umeanza kwa utani....

RIP
 
Asante kwa tarifa Mungu awape Tumaini na faraja
 
Back
Top Bottom