Mzee kazini

Ila anajiamini sana. Big up na mataifa makubwa hayafui dafu kwa dogo.
 
hiyo style ya kunyoa nywele ndo wote wanatakiwa kunyoa hivyo!!
 
Aliwahi kumnyonga MJOMBA wake akimtuhumu kwamba alitaka kumpidua
Ndugu wengine wasumbufu sana, hasa kwa kazi za serikali kama hizo wanaweza kuleta undugunaizesheni halafu wanaharibu.

Ndugu wengi ukiwapa vitengo vya kusimamia hata huku mitaani lazima ulie tu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…