Mzee Juma Mwapachu aula

Hii ni moja ya njia ya hizi MNC kufanya kazi zake 'smoothly' kwa kuwa na influential people onboard,binafsi naona ni njia mojawapo ya kula bila ya kuulizwa na mtu..

kama walivyowaingiza wengine kwenye bodi ya ttcl in the process of making celtel. ni uchafu mtupu.....
By the way Mapachu amefanya nini alipokuwa EAC badala ya kuwa mpiga porojo mzuri tu?
 

Hapana mkuu huyu unayemtaja hapa siyo Ambassador Juma Mwapachu, kipindi hicho alikuwa pale CTI na EABC kama Chairman.
 
kama walivyowaingiza wengine kwenye bodi ya ttcl in the process of making celtel. ni uchafu mtupu.....
By the way Mapachu amefanya nini alipokuwa EAC badala ya kuwa mpiga porojo mzuri tu?

Mkuu huu uteuzi haufanywi na Rais, ni yapi aliyoshindwa kufanya au mabaya aliyofanya EAC?.
 
Gamba jipya hao utabishana nao mpaka asubuhi usongo wao hauko kwa kuwa wanamjua au hawajui huyo mtu. Usongo wao uko kwenye jina "Juma". Ingekuwa ni "John" usingesikia hata kwi.

Si uliona ya dowans na mmiliki wake? Mitambo ilikuwa mibovu na haifai, mmiliki kubadilishwa jina tu, mitambo imejitengeneza na kuwa mizuri na wote wako Kimya.
 
Mzee Mwapachu, hawa jamaa waliokuteua wanachukua mchanga wetu wanapeleka Japan makontena kwa makontena yakiwa na dhahabu na wanasema ni udongo tu wakati tunajua huko Japan wanasafisha na kupata Dhahabu. Usiposimamia vizuri utajikuta unaburuzwa mahakamani baada ya miaka minne ijayo. Chunguza, Tafakari na uchukuwe maamuzi mazito usije potea Mzee umefanya kazi nzuri EAC sitaki wachafue jina lako.
 
Kwa kawaida member wa board anateuliwa na wenye hisa ili kulinda masilahi ya wenye hisa. Hivyo basi wakati wote Mzee Juma Mwapachu atakuwa anawajibika kwa wenye hisa na kwa sababu hiyo basi atakuwa mara zote akitetea masilahi ya kampani kwa faida ya wenye hisa. Kwa hiyo tusitegemee yeye kusaidia chochote katika kuokoa rasilimali za taifa hili na watu masikini.

Barrick wanataka kutumia network ya huyu mzee kunyonya zaidi watanzania na watu wote wa Afrika Mashariki. Kwani huyu mzee itakuwa rahisi sana kwenda kuongea na viongozi wa serikali ya Tanzania na wale wa nchi nyingine za jumuiya ya Afrika Mashariki kwa sababu anawajua na wao wanamjua vizuri.

Kwa kifupi huyu ameteulewa kuwa kibaraka wa Barrick. Angekuwa mzalendo wa kweli angekataa hiyo position kwani Barrick ni kampuni ambayo ina sifa mbaya sana hapa Tanzania kwa sasa. Hivyo mtu mzalendo hawezi kujiusisha na kampuni ya namna hiyo kwa sababu kila watanzania watakaposema jamani Barrick inatudhulumu mali zetu watakuwa wanamaanisha board ya Barrick inawadhulumu kwani ndio inasimamia maamuzi ya kampuni.
 
Hongera zake na kwa familia yake, hakuna faida yoyote kwa taifa wala nchi yake, bt kwa tumbo lake na kwa ndugu zake tu!
 
Mkuu hii inategemea na wewe unaamini nini by the way Tanzania iko EAC na SADC as well.

..naamini ktk maslahi ya nchi kwanza! yeye km kiongozi wetu anapaswa kuamua kwa maslahi ya nchi! kati ya SADC na EAC kitaalam kuna upande ambao tunaweza nufaika zaidi..hilo liko wazi!usisifu mtu eti kawasaidia watu wa chini ie wafanyakazi wa chini wa EAC..mambo madogo sana hayo kwa level ya cheo chake, tunaongelea level ya nchi au region as a whole, kuweka mipango na sera ni part tu ya kitu kizima..tungependa kumpima huyu mzee kwa yale aliyotekeleza! labda hilo la kufacilitate from customs union to common market..lakin je tunanufaika? kam hapana amefanya nn sisi km watz tunufaike na common market hii?

sidhani km ana addition to this nation! he s worn out! jst a deadwood!
 
..naamini ktk maslahi ya nchi kwanza!

Hilo ndilo analoamini yeye pia, sina shaka juu ya hili

..kati ya SADC na EAC kitaalam kuna upande ambao tunaweza nufaika zaidi..hilo liko wazi!usisifu mtu eti kawasaidia watu wa chini ie wafanyakazi wa chini wa EAC..
.

Sasa wewe kwa kuwa ni mtaalamu kuliko watu wa EAC waliokuwa wakiongozwa na Balozi tueleze block ipi inekuwa ya manufaa kwa Tanzania


Mkuu ni lipi kama katibu wa EAC hakulifanya ambalo wewe unadhani alitakiwa kulifanya na lipi baya alilofanya kama lipo?

 
Inji hii mhh haki ya nani sasa unampongeza kwa lipi? kwani hakuna vijana walio na uwezo na hekima wa kuwa kwenye hiyo position, sasa miaka yote anaula si tamaa tu hizi, Poor my country!

Aluta Continua!

 
Mnampongeza kuteuliwa na Barrick?!!!!! Halafu yeye amekubali!! Kampuni ilyojaa damu ya waTanzania!!
 
Hongera ya nini! Mtu tangia anazaliwa ajui dhiki.
 
Sijasema wanyonge wa TZ coz hakuwa kinara wa serikali ila watu wa institution ya EAC, wengi wanamkumbuka. Check records kwenye eachq.org or eac.int , take time to perus our web and see what am saying.

Hata tukiperuzi website ya Wizara ya Nishati tutakuta Jairo ni mtu wa watu.........
 
sishangai. angekuwa na jina la kikiristo hapa ungeona anavyosifiwa lakini kwa vile anajina la kiislam tu, hilo ni tatizo tosha kwa wengi humu
 
Bwahahaha mkuu na mimi nilikuwepo kipindi hicho cha Teti, Masokola, Doti. Ila huyo anaitwa Harith Bakari Mwapachu sio Juma Mwapachu
 
sishangai. angekuwa na jina la kikiristo hapa ungeona anavyosifiwa lakini kwa vile anajina la kiislam tu, hilo ni tatizo tosha kwa wengi humu
Waislamu hawaaminiki mkuu, wengi wao full magumashi
 

....building Infrastructure n lndustrialization strategy, where to start n move fwrd!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…