kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Sijasema wanyonge wa TZ coz hakuwa kinara wa serikali ila watu wa institution ya EAC, wengi wanamkumbuka. Check records kwenye eachq.org or eac.int , take time to perus our web and see what am saying.
African Barrick Gold plc (ABG) has appointed Juma Mwapachu as one of its non-executive directors with effect from last Thursday.
Hongera Mzee wetu, you did a great job as secretary general of EAC, linda raslimali za Tanzania na Africa kwa nguvu zote, maslahi ya mnyonge kwanza.
Hii ni roho mbaya full stop. "Mjaa stara haumbuki".Toka amezaliwa anaula tu.......nadhana sasa anatafuta kuvimbiwa kwa kuwa ameshiba siku nyingi sana
duh..yale yale ya mzindakaya
Huu ni mtego kwake tuone kama ataweza kutetea maslahi ya nchi katika madini....
Hapana ndg yangu huyu ni mndogo mtu, aliyekuwa mbunge wa Tanga ni Harith Bakari Mwapachu na huyu ni Juma Volter Mwapachu, lakini ni ndugu mkubwa kwa ndogo, huyu ni ndogo mtu!!!!!!!!!Hivi ni mwapachu huyu ninayemjua aliyekuwa mbunge wa Tanga. ambaye nilimuuliza swali pale bwaloni Tanga Tech Majibu yake yakasababisa wanafunzi na baadhi ya walimu tuka mwachia ukumbi? Kweli usilolijua ni usiku wa giza hivi huyu mnaweza kumwita jembe? Waliokuwepo Tanga Tech 1995 wanafahamu nini namaanisha
Hii ni moja ya njia ya hizi MNC kufanya kazi zake 'smoothly' kwa kuwa na influential people onboard,binafsi naona ni njia mojawapo ya kula bila ya kuulizwa na mtu..
Wamemuweka kwa ajili ya Kazi moja tu, Kupeleka RUSHWA kwa Magamba na Serikali yake sio kimaslai ya Watanzania bali ya Barrick Wauaji wa Watanzania na Mijambazi ya Rasilimali zetu. Siku zenu Zinahisabika Barrick
Hakutetea Watanzania wakati yupo Serikalini aje atetea Kwenye Kampuni inayotuibia Rasilimali zetu?
Usipate taabu katika hili, pale EAC ametengeneza programu nyingi sana zakuwalinda watu wa hali ya chini, na maslahi ya EAC yalikuwa mbele.
Ndg yangu fungua projects and programs EAC Strategic planning kwenye web, mipango mingi tuu imefanyika kipindi chake Arusha Namanga Nairobi road imefanyika kipindi chake, new EAC HQ Offices Ausha under this mans period. Mambo mengi kama ya power muster plan for EAC, EDUCATION PLAN, EAC RAILWAYS NET WORK PLAN, yako mengi just to mantion a few. Presentation zake kwenye gatherrings mbalimbali ni za kiprofesional zaidi, simpigii debe coz hagombei urais but nyonge nyongeni haki yake mpeni!!!!!!!!!!wewe tuandikie hayo aliyofanikiwa kule utuletee hapa. mimi nimeeenda huko sijakuta kitu
Hapana ndg yangu huyu ni mndogo mtu, aliyekuwa mbunge wa Tanga ni Harith Bakari Mwapachu na huyu ni Juma Volter Mwapachu, lakini ni ndugu mkubwa kwa ndogo, huyu ni ndogo mtu!!!!!!!!!
very professional wapi bwana! hawa si ndo wale wazungu weusi waliowekeza huko tukienda tunapingwa risasi eti tumekuja kuiba!Mkuu unataka kuchafua hali ya hewa au nini mkuu, huyu mzee hajateuliwa na rais, the dude is super bright and very professional
..fafanua! watu wa chini waajiriwa wa EAC au watu wa chini gn? bt l talked to one of the Tz professors akasema this oldman was nt decisive, mfano mmoja ni pale aliposhauriwa juu ya EPA negotiations, ie EAC should negotiate as a block na contents akapewa, bt failed to defend the deal! SADC took the lead ss tunafuata tu! while as a country we can gain much when negotiate withn EAC than SADC...msisifu watu kwa basis za personal gains!