Mzee Juma Duni Haji na Shehe Ponda Wamtembelea Freeman Mbowe Gerezani

Wapiga pesa wa Chadema wanaomba Mbowe akae maisha wazidi kupiga pesa za michango.
 
View attachment 2049200

Taarifa inatolewa kwamba Mzee Juma Duni Haji akiambatana na Shehe Issah Ponda leo tarehe 18/12/2021 wamefika kwenye Gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Freeman Mbowe , ambaye amewekwa jela kwa amri ya watawala kutokana na kudaiwa KUKOSA HESHIMA .

Habari kutoka Gerezani zinadai kwamba Mbowe yuko imara sana kiafya na kiakili na ametuma ujumbe Muruwa kwa watu wote nchini Tanzania kuendelea kudai KATIBA MPYA .
Nalifananisha tukuio Hilo na tukio la Yesu kutembelewa na Musa na Elia pale Gethsemane ili kumtia nguvu na kumtayarisha kwa mambo yajayo.
 
View attachment 2049200

Taarifa inatolewa kwamba Mzee Juma Duni Haji akiambatana na Shehe Issah Ponda leo tarehe 18/12/2021 wamefika kwenye Gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Freeman Mbowe , ambaye amewekwa jela kwa amri ya watawala kutokana na kudaiwa KUKOSA HESHIMA .

Habari kutoka Gerezani zinadai kwamba Mbowe yuko imara sana kiafya na kiakili na ametuma ujumbe Muruwa kwa watu wote nchini Tanzania kuendelea kudai KATIBA MPYA .
Hawa ndio viongozi siyo yule Zuberi!
 
Kwa hiyo yale Maneno ya Chadema ni Taasisi kumbe kama vichambo vya kwny Kanga tu
Lengo lenu ilikuwa hivyo. Lakini hamkujua chadema ni zaidi ya taaasisi. FOI chadema imeshavuka level ya kuwa taaasisi, imekuwa Imani Sasa. Ndo maana wanaozimia moyo wanaondoka na Kila siku watu wanajiunga chadema kwa dhahiri au kwa kificho.
 
View attachment 2049200

Taarifa inatolewa kwamba Mzee Juma Duni Haji akiambatana na Shehe Issah Ponda leo tarehe 18/12/2021 wamefika kwenye Gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Freeman Mbowe , ambaye amewekwa jela kwa amri ya watawala kutokana na kudaiwa KUKOSA HESHIMA .

Habari kutoka Gerezani zinadai kwamba Mbowe yuko imara sana kiafya na kiakili na ametuma ujumbe Muruwa kwa watu wote nchini Tanzania kuendelea kudai KATIBA MPYA .
Mbowe kawa mwamba wa nini?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2049200

Taarifa inatolewa kwamba Mzee Juma Duni Haji akiambatana na Shehe Issah Ponda leo tarehe 18/12/2021 wamefika kwenye Gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Freeman Mbowe , ambaye amewekwa jela kwa amri ya watawala kutokana na kudaiwa KUKOSA HESHIMA .

Habari kutoka Gerezani zinadai kwamba Mbowe yuko imara sana kiafya na kiakili na ametuma ujumbe Muruwa kwa watu wote nchini Tanzania kuendelea kudai KATIBA MPYA .
Hakuna neno liliniudhi, Kama hili la kusema MBOWE awe na adabu, kwanza ni neno la kibri, kisa yupo magogoni ,

Ila KWa ujumbe huu nawapongeza Sana Sana tena Sana

Na ni ujumbe kwamba Zitto ajitafakari Mara mbili Wanzanzibar Sio wajinga ipo siku watabaki yeye Kama yeye,

KWANZA najiuliza ACT ni chama GANI eti kiko na kiongozi mkuu wa chama, kwamba yupo mwenyekiti, katibu mkuu ,na kiongozi mkuu wa chama, watz tumerogwa Sana , na Maalim SEIF walimuloga kukubali ujinga wa namna hii, yule mzee alikua anajitambua Sana,
 
Back
Top Bottom