Mzee Jenerali Ulimwengu amtembelea Freeman Mbowe

kuna mtu namuona anagombea Urais 2025 halafu kuna jamaa atagoma na kubakia hukohuko aliko baada ya uchaguzi kitakachotokea itakuwa balaa...

ni draft tu na karata zinachezwa...
 
Wakuu msichoke , sisi kazi yetu ni kuwaletea tu habari zilizopo , Huyu Mbowe aliwekwa gerezani miezi 8 , sasa kwa vile alikuwa jela na sasa ametoka , wadau wengi wa haki wanakwenda kwake kumpongeza ( siyo kumpa pole ) .

Sasa mmoja wa wadau hao ni Mwandishi mkongwe na sasa Mwanasheria Jenerali Ulimwengu .

View attachment 2164461
Mbowe ni rais ajaye.
 
Habari mbaya mno kwa akina Phillipo Bukililo
 
Wakuu msichoke , sisi kazi yetu ni kuwaletea tu habari zilizopo , Huyu Mbowe aliwekwa gerezani miezi 8 , sasa kwa vile alikuwa jela na sasa ametoka , wadau wengi wa haki wanakwenda kwake kumpongeza ( siyo kumpa pole ) .

Sasa mmoja wa wadau hao ni Mwandishi mkongwe na sasa Mwanasheria Jenerali Ulimwengu .

View attachment 2164461
Huyo ulimwengu kwani ana uzito gani kwenye siasa za tanzania siku hizi? Eti mwanahabari nguli, ..kasoma sheria juzi uzeeni mnamwita mwanasheria nguli. Njaa tu inamsumbua. Huyu mtu alijifanya mwanamapinduzi wa kijamaa ujanani hivi leo ni mliberali sawa na lisu. Anapigania uhuru bila mpaka kwa kuchagizwa na kulipwa na mabeberu.
 
Humjui vizuri Ulimwengu ndugu. Ukiweka chuki yako dhidi yake na ambayo haijulikani alikufanyia nini utamjua vizuri.
 
Wakuu msichoke , sisi kazi yetu ni kuwaletea tu habari zilizopo , Huyu Mbowe aliwekwa gerezani miezi 8 , sasa kwa vile alikuwa jela na sasa ametoka , wadau wengi wa haki wanakwenda kwake kumpongeza ( siyo kumpa pole ) .

Sasa mmoja wa wadau hao ni Mwandishi mkongwe na sasa Mwanasheria Jenerali Ulimwengu .

View attachment 2164461
Sio kama wale wanaosaliti Chama pindi watishiwapo nyau
 
Huyo ulimwengu kwani ana uzito gani kwenye siasa za tanzania siku hizi? Eti mwanahabari nguli, ..kasoma sheria juzi uzeeni mnamwita mwanasheria nguli. Njaa tu inamsumbua. Huyu mtu alijifanya mwanamapinduzi wa kijamaa ujanani hivi leo ni mliberali sawa na lisu. Anapigania uhuru bila mpaka kwa kuchagizwa na kulipwa na mabeberu.
Pole Kwa kuchochwa na ukweli,wanakijani msipoukubali ukweli mtakufa kwa msongo kabla ya siku zenu.
 
Wakuu msichoke , sisi kazi yetu ni kuwaletea tu habari zilizopo , Huyu Mbowe aliwekwa gerezani miezi 8 , sasa kwa vile alikuwa jela na sasa ametoka , wadau wengi wa haki wanakwenda kwake kumpongeza ( siyo kumpa pole ) .

Sasa mmoja wa wadau hao ni Mwandishi mkongwe na sasa Mwanasheria Jenerali Ulimwengu .

View attachment 2164461
Huyo mpinzani wa uganda hapo ajue yuko na chawa wa museveni.. ulimwengu🙄
 
Wapenda haki husimama ktk haki hata kama inamaanisha kufa masikini ama kupoteza maisha! Mungu awabariki sana.

Wenzangu na mie akina Slaa wanabadilika na upepo!
Slaa ameharibikiwa ukubwani, njaa ya mihogo mpaka uzeeni na imepanda kichwani. Mshenzi yule.
 
Huyo ulimwengu kwani ana uzito gani kwenye siasa za tanzania siku hizi? Eti mwanahabari nguli, ..kasoma sheria juzi uzeeni mnamwita mwanasheria nguli. Njaa tu inamsumbua. Huyu mtu alijifanya mwanamapinduzi wa kijamaa ujanani hivi leo ni mliberali sawa na lisu. Anapigania uhuru bila mpaka kwa kuchagizwa na kulipwa na mabeberu.
sasa unalia nini ?
 
Back
Top Bottom