Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,163
- 7,714
Daaah! Binafsi hata sijakutana nao! Ila, kwa vile umeitumia picha hii, basi ungetutajia majina ya hao wengine. Mi hata sikujishughurisha kuwaangalia hao wengine tofauti na Mbowe na huyo Ulimwengu. Nikarudi tena baada ya kusoma kuwa Wine naye yupo kwenye picha hiyo!Uzi wake umo humu tayari .