Mzee Farijala ni nani hasa?

Mzee Farijala ni nani hasa?

abousalimu

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
62
Reaction score
19
Star TV mnamualika mara kwa mara huyu mzee katika kipindi chenu cha asbh na mnamtambulisha kama mwanasiasa mkongwe. Kwa anayemjua ni nani huyu mzee?
 
Hata mimi nasubiria majibu mkuu, maana mara nyingi namuona Star tv, tena wakati mwingine huwa ana pumba sana na utetezi wa kijinga kwa wafilisi wa nchi hii.
 
Huyo mzee ni mpumbavu fulani hivi anaganga njaa,mstaafu anayeishi kwa propaganda za magamba.
 
Kapuuzi na kanafiki tu hako kazee! Kanaenda pale kwa amri ya Diallo
 
Kuna jamaa mmoja aliniambia ni mtu anayetumiwa na TISS kuitetea serikali kwenye media pale inapokuwa imekabwa koo.Kumbuka kwenye mgomo wa madaktari
 
Vizee njaa sana hivi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hayo ndio matokeo ya AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA. Nimemuona yule mzee ALISHA BINAFSISHA AKILI YAKE ili apate mkate wake wa kila siku.

Katika historia ya siasa za Tanzania, sijawahi kufundishwa hilo jina kwamba nalo ni moja ya wanasiasa Tanzania. Mzee Kingunge naye watamuita nani?
 
Kuna jamaa mmoja aliniambia ni mtu anayetumiwa na TISS kuitetea serikali kwenye media pale inapokuwa imekabwa koo.Kumbuka kwenye mgomo wa madaktari

Kinachonikera zaidi kwa huyu mzee ni kuwa huwa hana kabisa uwezo wa kujenga hoja. Ni pumba tu mwanzo mpaka mwisho.
 
aTAKUWA mJOMBA WAKE dIALLO WANAJARIBU KUISAVE ccm DAKIKA ZA MWISHO
 
Back
Top Bottom