Mzee chogo na familia yake.

911sep11

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
2,461
4,265
katika pitia pitia ya magazeti na majarida mbali mbali miaka hiyo nadhani umewahi kutana na cartoon ya watoto wa mzee chogo

walichorwa na vichwa vyenye visogo virefu.

sasa kupitia picha hizi utakutana na watu ambao wana vichwa visivyo vya kawaida ambavyo sijui sasa kama wanavibumba pindi mtoto azaliwapo au ndivyo Walivyo tu damu yao!
IMG-20180607-WA0014.jpg
IMG-20180607-WA0015.jpg
IMG-20180607-WA0013.jpg
IMG-20180607-WA0012.jpg
 
Sio abnormal... Niliwahi kusoma mahali Fulani ..Hilo kabila wanafanywa kutengezezwa hivyo vichwa punde tu wanapo zaliwa hufungwa kitambaa ambacho kinatengezeza shape ya kichwa kama unavyo kiona
 
Sio abnormal... Niliwahi kusoma mahali Fulani ..Hilo kabila wanafanywa kutengezezwa hivyo vichwa punde tu wanapo zaliwa hufungwa kitambaa ambacho kinatengezeza shape ya kichwa kama unavyo kiona
duh waliwahi zungumzia state ya ubongo wao? je unavhaji sawa na watu wa kawaida wasiopitia taratibu hizo?
 
Sio abnormal... Niliwahi kusoma mahali Fulani ..Hilo kabila wanafanywa kutengezezwa hivyo vichwa punde tu wanapo zaliwa hufungwa kitambaa ambacho kinatengezeza shape ya kichwa kama unavyo kiona
Kama umeishi na waGhana utagundua hawana visogo, niliowauliza wanasema tangu wakizaliwa huwa wanakandwa vichwa ili kuondoa visogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom