Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,069 Reaction score 134,428 Aug 18, 2024 #1 Your browser is not able to display this video.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Aug 18, 2024 #2 Endelea kuita wenzako wazee wakati wewe pamoja na ujana wako umeishia kua chawa wa mhindi
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 13,617 Reaction score 40,894 Aug 18, 2024 #3 ukikaidi utapigwa2 said: Endelea kuita wenzako wazee wakati wewe pamoja na ujana wako umeishia kua chawa wa mhindi Click to expand... Kwani uzee ni tusu mkuu mbona ni heshima furani, mimi kuna sehemu naitwa mzee hata na wale wanao nizidi umri, wala silalamiki.
ukikaidi utapigwa2 said: Endelea kuita wenzako wazee wakati wewe pamoja na ujana wako umeishia kua chawa wa mhindi Click to expand... Kwani uzee ni tusu mkuu mbona ni heshima furani, mimi kuna sehemu naitwa mzee hata na wale wanao nizidi umri, wala silalamiki.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,749 Reaction score 28,144 Aug 18, 2024 #4 Kina mutale wamegoma kustaafu
F FOCAL JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 3,645 Reaction score 5,197 Aug 18, 2024 #5 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 3072984 Click to expand... Ila kisoka, umri wake umesogea sasa, kacheza miaka ya kutosha sana tena kwa kiwango cha juu.
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 3072984 Click to expand... Ila kisoka, umri wake umesogea sasa, kacheza miaka ya kutosha sana tena kwa kiwango cha juu.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,969 Reaction score 119,438 Aug 18, 2024 #6 ukikaidi utapigwa2 said: Endelea kuita wenzako wazee wakati wewe pamoja na ujana wako umeishia kua chawa wa mhindi Click to expand... Dah! CHAWA wa mhindi!
ukikaidi utapigwa2 said: Endelea kuita wenzako wazee wakati wewe pamoja na ujana wako umeishia kua chawa wa mhindi Click to expand... Dah! CHAWA wa mhindi!
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,218 Aug 18, 2024 #7 Kashindana na Messi hadi kachanganyikiwa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Aug 18, 2024 #8 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 3072984 Click to expand... Muhasibu hiyo inakuuma?🤣
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 4,640 Reaction score 10,645 Aug 18, 2024 #9 kuna siku kizaz fulan kitaaza kumlinganisha c. ronaldo na galasa halland.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Aug 18, 2024 #10 Lucha said: Kashindana na Messi hadi kachanganyikiwa Click to expand... Ni lini Messi na Ronaldo walisema wanashindana?
Lucha said: Kashindana na Messi hadi kachanganyikiwa Click to expand... Ni lini Messi na Ronaldo walisema wanashindana?
Moshi25 JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,812 Reaction score 4,409 Aug 18, 2024 #11 Akili ya CR7 inapiga boli kwenye post, mguu unapiga mnazi, juu kulee kwenye magorofa!! Jana Al Nasr wamechapwa Ronaldo akaweka alama ya mikono kuwa wameishindwa kabisa Al Hilal mziki mnene!!
Akili ya CR7 inapiga boli kwenye post, mguu unapiga mnazi, juu kulee kwenye magorofa!! Jana Al Nasr wamechapwa Ronaldo akaweka alama ya mikono kuwa wameishindwa kabisa Al Hilal mziki mnene!!
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,218 Aug 18, 2024 #12 ukikaidi utapigwa2 said: Ni lini Messi na Ronaldo walisema wanashindana? Click to expand... Leo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,664 Aug 18, 2024 #13 Mambo yake muachie mwenyewe... Cc: Mahondaw