Mzee bahili

Mzee bahili

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Mzee mmoja bahili karudi nyumbani kwake akaanza kuwatembezea watoto wake bakora, watoto kuuliza kwa nini mzee anawachapa bakora? mzee akawajibu mna matumizi mabovu nyinyi mpo watatu mnawasha fan namba 4 kwa nini
 
Ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh teeeh, huyu dingi ni kaksi
 
Huyo mzee lazma alikua ametoka kwenye ka-ugimbi/ulabu/ulaka/komoni etc.
 
Nafikiri alikuwa amemiss kuwachapa siku nyingi
 
Dah...! Alikuwa na matatizo yake mengine.
 
kweli bana namba tatu kwa watu watatu..lazma atakua wa kishumundu uyo
 
Watoto wanatakiwa kuilaumu ccm kwa kuyafanya maisha kuwa magumu ndo yamemfanya mzee kuwa na mastreess kama hayo
 
Back
Top Bottom