Mzee baba!

Vipi tena kaka mshahara umeomgezwa nini...?
 
Nilikuwa namalalamiko fulani hivi.nikaonana na maofisa ikulu ,mwaka jana alipokuja kuzindua stendi kuu ya mabasi hapa msamvu.nilishakata tamaaa,jana usiku nikapata ujumbe mambo tayari.nina kila sababu ya kumshukuru mh,Rais John Pombe Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…