only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,342 Reaction score 2,528 Sep 5, 2012 #1 Jamaa alimuibia mzee nauli ktk daladala Mzee: Jamani aloniokotea nauli yangu anirudishie, nisije nikafanya nilichofanya mwaka 1977. Jamaa huku akitetemeka akarudisha halafu akauliza, "kwani mzee 1977 ulifanya nini? Mzee: nilitembea kwa miguu kutoka mbagala mpka mwenge baada ya kupoteza nauli.
Jamaa alimuibia mzee nauli ktk daladala Mzee: Jamani aloniokotea nauli yangu anirudishie, nisije nikafanya nilichofanya mwaka 1977. Jamaa huku akitetemeka akarudisha halafu akauliza, "kwani mzee 1977 ulifanya nini? Mzee: nilitembea kwa miguu kutoka mbagala mpka mwenge baada ya kupoteza nauli.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Sep 5, 2012 #2 Hahahahaaa
R red16 Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22 Reaction score 4 Sep 5, 2012 #3 teh teh teh, eeeh hii kiboko.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Sep 6, 2012 #4 Nimeipenda ya ukweli sana
Mr Penal Code JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 823 Reaction score 216 Sep 6, 2012 #5 smiple...but..inafurahisha...hongera!!!
molely molly JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 317 Reaction score 30 Sep 6, 2012 #7 mjini shule bhana!
Manager JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 531 Reaction score 73 Sep 7, 2012 #8 Only83 can do this!
Manager JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 531 Reaction score 73 Sep 7, 2012 #9 Zamani ilikuwa mpaka usubiri gazeti la Sani (tena la kuazima)
Jagarld JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 2,689 Reaction score 3,448 Sep 7, 2012 #10 Mwizi kajua busha litamshuka kumbe dah mzee mwanafalsafa!
yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Sep 7, 2012 #11 nmecheka mpaka nmepaliwa na chakula aisee.
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,589 Reaction score 28,652 Sep 7, 2012 #12 Jamaa alijua ni askari aliyemtimua nduli Amin
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Sep 8, 2012 #13 Kila kitu ni kwenda nacho kwa akili tuuu
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 8, 2012 #14 Hahahahahahaha nimecheka sana mbavu zinauma
Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 67 Sep 8, 2012 #15 Ha ha ha ha ha ha
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,726 Sep 8, 2012 #16 Kweli mjini kisomo, teh teh teh!!...
M MWARA Member Joined Aug 17, 2012 Posts 48 Reaction score 12 Sep 9, 2012 #17 Mzee mwanasaiko huyo,ukubwa dawa
I INROSHA Member Joined Sep 3, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Sep 9, 2012 #18 hangekua kijana katisha jamaa hacngeogopa ila sababu ya imani kuwa wazee wengi ni wachawi kjn akapata presha
hangekua kijana katisha jamaa hacngeogopa ila sababu ya imani kuwa wazee wengi ni wachawi kjn akapata presha
Autorun JF-Expert Member Joined Mar 21, 2008 Posts 557 Reaction score 119 Sep 9, 2012 #19 Kijasho kilimshuka na kukauka mapemaaaa
Goldman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 1,930 Reaction score 2,409 Sep 10, 2012 #20 eeehh hahaaaa ni nouma!