mzazi mwenzangu si chaguo langu

mzazi mwenzangu si chaguo langu

Kama moyo wako haujamridhia wala usiangaike nae lea mtoto wako tu,hakuna sehemu wanalazimisha kuoa mtu ambae hujaridhika nae...

Mtoto hilo ni jukumu lako usilikimbie
 
Una ahadi na mwanafunzi nini mkuu?

chukua huyo ndo chaguo lako ndo maana mmepata mpaka mtoto.
 
nina miaka 27 nmezaa na dada wa miaka 22 ambaye sikuwa na mpango wa kumuoa na wala cjawahi kufikilia hlo! Kinacho tatiza ni kwamba hyu mzaz mwenzangu anafoc kuishi na mm halaf mm moyo wangu haujamridhia kwani hata yy nilisha mwambia na hyo mimba ilipatikana bila mipango na kwa kweli nilimshaur atoe akagoma na mi nikamkubalia kwa mashart ya kuwa hamna ndoa sasa anashawishi kwa nguvu eti nimuoe tutunze mtoto nifanyeje wadau?

Katika maisha haya mja hupata ajaliwacho na si kile atakacho; kufukuzia utakacho ni sawa na kujilisha upepo
 
Goma tu, kama mwanaume hutaki kitu hakuna wa kukulazimisha! We tunza mtoto baaaaaaaaaaaass! Usiharibu ever after yako bila sababu! As long as mlikubaliana baaaaaaaaaaaaass!

huu ndiyo ushauri wa maana bibie,,,,,,,,,,, hakuna ndoa za kulazimishana kwa dunia ya sasa.

atunze mtoto wake tu.
 
kwani lazima mioyo iwe compatible
mgegedo na papuchi vikiwa compatible yatosha kuishi pamoja
 
kwanini humpendi? kwanini huna malengo nae? je udhaifu alio nao akijirekebisha mambo yatakuwa fresh! au imetokea tu humpendi?
 
Ndoa itadumu kama imetokana na upendo...si sababu nyingine yeyote (si mtoto, wala pesa)

Achana nae, lea mwanao....

Ukute alijirengesha...chezea wadada wewe...

Wewe unasema bahati mbaya yeye ame calculate vizuri....next time be smart usiongeze idadi ya watoto wa nje ya ndoa
 
watu mnamsema utadhani nyie hao mliokwisha tembea nao mlitumia kinga...au wakati mnaendelea na ngono zembe mlikuwa na nia ya kuwa mababa...

kuweni realistic na mjue kuna wengi wanatembea kavu kavu huku hawana hata mpango na kuwa na kids...
 
Bwana Mdogo huyo mwanamke kwa kigezo gani unamuita si chaguo lako? We mchukue ishi naye wanawake wengi wanafanana sana. Ukimuacha huyu kwa sababu hii utakuja kukutana na mwingine mwenye tabia za ajabu utashangaa.
 
nina miaka 27 nmezaa na dada wa miaka 22 ambaye sikuwa na mpango wa kumuoa na wala cjawahi kufikilia hlo! Kinacho tatiza ni kwamba hyu mzaz mwenzangu anafoc kuishi na mm halaf mm moyo wangu haujamridhia kwani hata yy nilisha mwambia na hyo mimba ilipatikana bila mipango na kwa kweli nilimshaur atoe akagoma na mi nikamkubalia kwa mashart ya kuwa hamna ndoa sasa anashawishi kwa nguvu eti nimuoe tutunze mtoto nifanyeje wadau?
hii ni moja ya sababu ya mtoto kumkataa mzazi anapokuja kufanikiwa hapo baadae,, anaanza jengewa chuki mapema sana pindi wazazi mtenganapo kwa style hii....
 
Matunzo ya mtoto huazia akiwa tumboni. Bila matuzo ya mwanzoi hawezi kuwa mtoto. Kwaza ulikwisha sema kuwa ulimshauri akatoe mimba, kama mzazi mwenzio anagalikubali ushauri wako usingalikuwa na mtoto. Mzazi mwezio alipokataa kutoa mimba aaashiria mambo mawili makuu.
  1. Ana mapenzi ya kweli kwako na kwa mtoto, akakubali liwalo na liwe.
  2. Sio mhuni kama wewe ndiyo maana hamuendani.
  3. Hakuna namna nzuri uyoweza kumlea mtoto wako bila mama yake pasipo kumsababishia mateso
  4. Mwache endelea na uhuni wako barabarani kama Mungu alivyosaidia huyo mzazi mwenzako kubeba mimba na kujifungua atamsaidia pia kulea mwanaye hadi mafanikio atakayo yahitaji.
    Goma tu, kama mwanaume hutaki kitu hakuna wa kukulazimisha! We tunza mtoto baaaaaaaaaaaass! Usiharibu ever after yako bila sababu! As long as mlikubaliana baaaaaaaaaaaaass!
 
Ndoa itadumu kama imetokana na upendo...si sababu nyingine yeyote (si mtoto, wala pesa)

Achana nae, lea mwanao....

Ukute alijirengesha...chezea wadada wewe...

Wewe unasema bahati mbaya yeye ame calculate vizuri....next time be smart usiongeze idadi ya watoto wa nje ya ndoa

That's right Mami! Baadhi ya wadada wana force ndoa kwa mtindo huo.
Walishakubaliana wana megana na no commitment, kwanini mdada ajiachie mimba iingie, then anganganie kuolewa??? Hapo ndipo wanawake mnakosea sana!!! Mnajiharibia future zenu kwa hesabu fupifupi!! Mtoto my foot!!!
Siipendi hii tabia. Dada yangu alifanya hii, akaforce mwanamme aoe.
Shemeji akaoa!!! Ndoa miaka miwili mwanamme visa mtindo moja!! Aliondoka mwenyewe bila kuaga!!
 
ushamvua ndo unamuona hafai.ungemwambia kabla ya kula papuch yake bas!
 
nina miaka 27 nmezaa na dada wa miaka 22 ambaye sikuwa na mpango wa kumuoa na wala cjawahi kufikilia hlo! Kinacho tatiza ni kwamba hyu mzaz mwenzangu anafoc kuishi na mm halaf mm moyo wangu haujamridhia kwani hata yy nilisha mwambia na hyo mimba ilipatikana bila mipango na kwa kweli nilimshaur atoe akagoma na mi nikamkubalia kwa mashart ya kuwa hamna ndoa sasa anashawishi kwa nguvu eti nimuoe tutunze mtoto nifanyeje wadau?
Siku hizi hii fasion ya wanaume kuwapa mimba wasichana halafu kusingizia eti sikuwa na mpango naye imekithiri sana. Huyu MUNGU siku hiyo atakuwa na kazi ya ziada kuhukumu. Eti nilimwambia atoe mimba akakataa, hivi unaelewa maana ya kutoa mimba wewe. Ingekuwa kwenye mwili wako ungeshauri hivyo au kwa sababu iko kwa mtu mwingine.
Nataka nikwambie hivi, utaendelea kumtafuta yule ambaye unafikiri unampenda, lakini yeye hatakupenda kama wewe utakavyompenda. Mwisho wa siku ni maumivu kama hayo anayoyapata huyo dada uliyemzalisha.
 
nina miaka 27 nmezaa na dada wa miaka 22 ambaye sikuwa na mpango wa kumuoa na wala cjawahi kufikilia hlo! Kinacho tatiza ni kwamba hyu mzaz mwenzangu anafoc kuishi na mm halaf mm moyo wangu haujamridhia kwani hata yy nilisha mwambia na hyo mimba ilipatikana bila mipango na kwa kweli nilimshaur atoe akagoma na mi nikamkubalia kwa mashart ya kuwa hamna ndoa sasa anashawishi kwa nguvu eti nimuoe tutunze mtoto nifanyeje wadau?
Maji ukiyafulia huna budi kuyaoga. Kwani ulikuwa hujui kama matokeo ya ngono zembe ni ama ugonjwa au mtoto. Tena mshukuru Mungu kilichotokea ni mtoto. Ingekuwa kale ka ugonjwa ingekuwaje. Leo umeshamharibia show yake unataka nani amwoe sasa. Acha hiyo laana, kamwoe.
 
ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi. Kama moyo haujaridhia muache ila kwa uzuri na umtunze mtoto. Ungenipm ningekupa experience yangu kwani nilkumbwa na masahibu kama yako baadae nikachukua uamuzi nilionao sasa.
 
Back
Top Bottom