Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

bb2

Member
Sep 22, 2016
66
70
Habarini ndugu zangu polen na majukumu ya kila siku, nimekuja mbele yenu kama kijana mwenye shida ya kiushauri na mawazo ili nipanue akili na niwe na uwezo mkubwa wa kuchukus maamuzi sahihi kutokana na mawazo yenu na mawazo yangu kwa pamoja.

Mimi ni kijana na nipo kakika mahusiano ya na mwanamke kwa muda mrefu ambaye tumefanikiwa kuwa na mtoto mmoja ila katika mahusiano yetu hayo tumetenganishwa na umbali kias wa kila mmoja yupo katika mkoa tofaut na mwenzake mimi nipo musoma yeye yupo tabora kutokana na majukumu ya kutafuta riziki za kila siku kwa faida yetu sote.

Mzazi mwenzangu huyo ni mwalimu wa nursery school na anafundisha katika shule fulan iliyopo Tabora nimekuwa nikimuamini kwa muda na hasa baada ya kuzaa mwaka juiz niliamini kuwa sasa malengo na mawazo yetu yapo sawia katika kuendeleza familia na kwa malezi bora ya mtoto lakini cha kushangaza hivi karibun nilienda kumtembelea Tabora na nilimtaarifu kuwa nakuja na ninafikia kwake ila nitakaa siku mbili mpaka tatu alafu narudi kazini kwangu ambapo najitolea bado sijaajiriwa.

Ukweli nilipofika Tabora nilifikia kwake na nikalala siku ya kwanza lakiin ilipofika siku ya pili nimetoka zangu mizunguko jioni nikawa nimeketi naye mpaka mida ya sa mbili kasoro lilitokea tukio la kustaakabisha kiasi, kumbe mwenzangu anamwamaume mwingine ambaye anakujaga kulala mpaka pale na siku hiyo muda wa uck alimwambia anakuja kulala pale, mwenzangu akashindwa kuniambia ikabid akamwambie mama mwenye nyumba wake aje aniambie kuwa huyu mwezako ana mtu wake amemwambia anakuja japo kuwa anasema awali alimwambia kuwa mimi nina mtoto na nina mwanaume wangu lakini yulu mwanaume alikubali hivyo hivyo.

Cha ajabu siku hiyo alipoambiwa mimi nimekuja alisema anakuja hivyo hivyo na ataleta fujo ikanibidi mwenyebnyumba aniombe niondoke na mzazi mwenzangu tukalale pengine asije akaja akatukuta ikaleta fujo na aibu. Pia nami nikafanya kama nlivyoambiwa na nilipofika gesti na mzazi mwenzangu nikaongea nae mambo mengi na nikamuuliza kati ya mimi na yeye unampenda nani akasema wewe hapo.

Swali linakuja kama unanipenda mim unawezaje kumleta mwanaume mwenzangu unapolala kama hauna malengo nae akasema nisamehe tu huku akilia.

Ndugu zangu nimekuja mbele yenu ila muweze kunisaidia ushauri kutokana na uzoefu wenu katika mambo ya mahusiano.
 
Kuna wanawake huwa hawana maamuzi na na wana udhaifu wa kuweka msimamo.

Wewe kama mwanaume na unampenda kweli huyo mzazi mwenzako, simama kama kiongozi uweke msismamo.

Nimewahi kushuhudia sehemu stori kama yako.

Nakuthibitishia hata ukimwambia mpigie simu huyo jamaa hapa hapa, mwambie sikutaki na nina mtu wangu atapiga.

Muhimu tafuta uwezekano mkae karibu, yawezekana lipido ya mkeo iko karibu na ndio maana anakuwa dilema.
 
Ungekuwa umemuoa tungeweza kushauri, muwe munawaonea hawa wanawake huruma, ukikaa bila kuonyesha msimamo na yeye atakuwa anaangalia angalia pembeni!

Kama umezaa na mwanamke, unampenda, na anakupenda, then Kama kuna Makosa ya kawaida ya kiufundi unaweza msamehe mkaoana.

Mwanamke kuliwa kabla hajawa na ndo ni kawaida kabisa, mwanamke gani aliwi? Wote wanaliwa tu, Kama unabisha nitajia mwanamke yeyote unayemwamini, hata mke wa mtu, Nipe mawasiliano yake, mwishowe nitamla tu!

Wanawake wote I can say , wanaliwa tu, dunia kwisha Habari yake, cha maana ni kupambana tu na kulea watoto na kuwa watu wazima, utamkimbia huyo na mtoto utakutana na asiye na mtoto wako, naye atakuja kuliwa tu!

Huyo mwanaume anamsaidia huyo mwanamke kifedha, ndo maana hata huyo Mama mwenye nyumba anamjua na amesema atakuja na kuleta fujo, kama hauna hela na unaenda Fikia kwa mwanamke, Juan kuna mtu ana provide.

Shukuru huyo mwanamke ni mkweli, na ni mzuri, unaweza kupata mwingine ukapangwa mpaka ukashangaa! Wanawake Sio watu ndugu, Cha Maana ni kulea mtoto basi.
 
Ungekuwa umemuoa tungeweza kushauri, muwe munawaonea hawa wanawake huruma, ukikaa bila kuonyesha msimamo na yeye atakuwa anaangalia angalia pembeni!

Kama umezaa na mwanamke, unampenda, na anakupenda, then Kama kuna Makosa ya kawaida ya kiufundi unaweza msamehe mkaoana.

Mwanamke kuliwa kabla hajawa na ndo ni kawaida kabisa, mwanamke gani aliwi? Wote wanaliwa tu, Kama unabisha nitajia mwanamke yeyote unayemwamini, hata mke wa mtu, Nipe mawasiliano yake, mwishowe nitamla tu!

Wanawake wote I can say , wanaliwa tu, dunia kwisha Habari yake, cha maana ni kupambana tu na kulea watoto na kuwa watu wazima, utamkimbia huyo na mtoto utakutana na asiye na mtoto wako, naye atakuja kuliwa tu!
Sawa ndugu yangu
 
Kuna wanawake huwa hawana maamuzi na na wana udhaifu wa kuweka msimamo.

Wewe kama mwanaume na unampenda kweli huyo mzazi mwenzako, simama kama kiongozi uweke msismamo.

Nimewahi kushuhudia sehemu stori kama yako.

Nakuthibitishia hata ukimwambia mpigie simu huyo jamaa hapa hapa, mwambie sikutaki na nina mtu wangu atapiga.

Muhimu tafuta uwezekano mkae karibu, yawezekana lipido ya mkeo iko karibu na ndio maana anakuwa dilema.
Asante ndugu yng kwa ushauri
 
Usisumbue mahakama kama ushahidi uko wazi, Lea mtoto tu hapo tayari hiyo ni changamoto kwa inavyoonekana wewe kwa muda huu hauwezi kumuhudumia tafuta maisha wanawake ni wengi ukiwa na maisha. Kifupi huyo jamaa ndiye anayemuweka mjini huyo demu mpaka mwenye nyumba anajua maneno aliyokwambia huyo demu ni kukupoza au kukulindia heshima kwa sababu wewe ni baba mtoto.

Kuna vitu ukiwa navyo hakuna demu atakusumbua ie pesa na kujua kugegeda Sasa wewe technically kwa Sasa hivyo hauna pesa huna kwa sababu hauko kwenye ajira stable pia kumla hauwezi kwa sababu ya umbali akili kichwani mwako tafuta hela kijana
 
Huyo demu anakupenda ila unasaidiwa kumlea na so ukiondoka tu jamaa ataendelea kumla, kazi kwako
 
Bàada ya kusoma maelezo yako nikushauri tafuta pesa kwanza halafu utafute mwanamke mwingine
We jamaa humhurumii Yule mtoto Hawa wanaotelekeza vizazi vyao ndo wanao tuletea tabu na shida mitaani .AKALEEE MTOTO WAKE
 
We jamaa humhurumii Yule mtoto Hawa wanaotelekeza vizazi vyao ndo wanao tuletea tabu na shida mitaani .AKALEEE MTOTO WAKE
Akiwa na pesa hawezi shindwa kulea mtoto, mwanamke ambae mwanaume zaidi ya mmoja anagongea kitanda hichohicho ni mpuuzi
 
Back
Top Bottom