Mzazi mpumbavu?

Mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha mpaka anangia uzeeni huyo dogo atainamainama hivyo mpaka ukubwani ni shida
 
Sidhani kama kuna Ubaya ila uifanye kwa ubaya, hapo naona baba anacheza nae kama kumuonyesha toy na sio vingine, nice picture though
 
Sasa siku tukiwakuta wanafanya hivi tufanyeje?
 
Hahahahaaa kisa? Kosa?

Basi tu nammalizia hasira yeye ili next time aweke nyuma ya kioo, unaonaje hapo? Lakini utakuta huyo mtt anaachiwa sana na wazazi wake kuangalia mambo ya wakubwa au ni utundu tu yote yanawezekana
 
Naamini mwenye duka hana kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…