ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Unapoendelea kuhangaika na majukumu yote ya ya ulezi,kulisha ,kusomesha nk ,napenda kukukumbusha hili nalo.
Kama bado una wazazi usithubutu kuwatanguliza mbele wanao na kuwanyima wao. Wamewekeza sana kukufikisha hapo ulipo...walijitolea sana mpaka ukawa wewe. Ni silika ya mtoto kutenda kama mzazi,unapowasema vibaya au kuwadharau jua tu watakutenda hivyo hivyo siku moja. Ni muhimu kubalansi upendo wako kati ya wanao na wazazi wako. Kumbuka mahitaji ya wazazi ni machache zaidi na huwa ni waelewa sana ikitokea huna.
Jumamosi njema.