Aiseee! Hii filosofia ya mavazi ya watoto imejaa vijijini.Nimeshafanyiwa hivyo nikiwa mdogo darasa la tatu!
Ah hahahaaa haha nakumbuka nikiwa darasa la 3 nilinunuliwa kiatu oversize eti nifike nacho hadi la 7, kweli tumetoka mbali
SINA AIMANI NA UKAWA
Binadamu huwa hapendi kusikia ukweliAnza kutokuwa na imani na mke wako maana wale watoto c wako
Haka katoto mbona kana kichwa cha MTU mzima